Wakifanya ingizo la kukemea angalau litapunguza hatari ya migawanyiko ya kidini juu ya hii ya kisiasa tuliyo nayo sasa.Wakifanya igizo la kukemea utaridhika sana! EnHEEEeeeeh!
Lakini ninakusoma katikati ya mistari, nikikumbuka ile mada yako nyingine ya hivi karibuni inayoendana na hii, lakini kwa upande wa pili.
kuna watu mnashangaza sana kwa misimamo yenu juu ya taifa hili.
Migawanyiko ya kidini ipo toka uhuru; na baadhi ya mada ulizoanzisha wewe zinaeleza hivyo.Taratibu unaanza kueleweka unaposimama..Wakifanya ingizo la kukemea angalau litapunguza hatari ya migawanyiko ya kidini juu ya hii ya kisiasa tuliyo nayo sasa.
Ndugu hao ma sheikh huwatakii mema. Mwaipopo kazi anayoifanya ni ya CCM na serekali yake, yahani kaagizwa na akina Mwigulu, Samia,....kufanya anayoyafanya.Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Jinsi chadema mnavyopiga mikwara na wanaharakati wenu wa mitandaoni,ndivyo hivyo hivyo na nyie mnavyopigwa mikwara,mpaka mnatoa sauti ya upole dadek 😀😀😀Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Kwani kitima sio mchumia tumbo?Masheikh wanaoshindwa kuwatetea Masheikh wenzao wakibambikiwa kesi ndio waje wamkemee huyo Mpumbavu.
Ukweli usemwe hapa Bongo Waislamu wana bahati mbaya sana ya kupata viongozi wachumia tumbo.
Nawaza tu unaanzaje kumshawishi Father Kitima atoke aongee usengerema kama wa huyo Sheikh!!
Huyu Sheikh Mwaipopo ni sawa na Fr Charles Kitima tu. Rejea Newton's third law of motion, "whenever one object exerts a force on a second object, the second object exerts an equal and opposite force on the first"Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Nafurahi kwa uelewa wako juu ni nini kinaendelea! Kwenye mieleka tunaita (Tambo)Huyu Sheikh Mwaipopo ni sawa na Fr Charles Kitima tu. Rejea Newton's third law of motion, "whenever one object exerts a force on a second object, the second object exerts an equal and opposite force on the first"
Mimi nasema ni dini.Hapana, siyo dini, ni kundi la watu wanaotumia hiyo dini wakiwa na ajenda ya siku nyingi sana hapa Tanzania.
Halafu sote tunajifanya hatujui mzizi wa tatizo hatuujui; wakati tukijuwa pamekuwepo na kundi hilo toka enzi za uhuru wa taifa hili.
Watu wanataka waelezwe vipi ndiyo wajue kuwa tatizo limekuwepo toka siku nyingi.
Sasa wamejikusanya, na mwanya mzuri umepatikana; wanatekeleza lengo. la muda mrefu kwa sababu hali inawaruhusu kufanya hivyo.
Hawafanani Kitima na huyo toilet paper. Kitima ana jeshi gani. Ametoa kauli gani ya kuuwa mtu.Huyu Sheikh Mwaipopo ni sawa na Fr Charles Kitima tu. Rejea Newton's third law of motion, "whenever one object exerts a force on a second object, the second object exerts an equal and opposite force on the first"
Wako sawa tu. Kitima anahamasisha maandamano na vurugu kupitia madhabahu yake kama Katibu wa TEC. Jeshi lake ni CHADEMA.Hawafanani Kitima na huyo toilet paper. Kitima ana jeshi gani. Ametoa kauli gani ya kuuwa mtu.
Kitima anadai haki na kukemea utekaji.
Wakatoliki tuna mitazamo ya kimaendeleo kupita maelezo. Linapotaka kujengwa kanisa wenyeji wa eneo husika huhakikisha wanapata eneo kubwa zaidi ya heka mbili ikiwezekana.Masheikh wanaoshindwa kuwatetea Masheikh wenzao wakibambikiwa kesi ndio waje wamkemee huyo Mpumbavu.
Ukweli usemwe hapa Bongo Waislamu wana bahati mbaya sana ya kupata viongozi wachumia tumbo.
Nawaza tu unaanzaje kumshawishi Father Kitima atoke aongee usengerema kama wa huyo Sheikh!!
Mimi siyo mtaalam wa dini hiyo, kwa hiyo sina uwezo wa kuitetea sawasawa.Mimi nasema ni dini.
Kwa nini dunia nzima ni wao tu waislam wanaotumika kuchinja watu kama kuku, kwa kuanzisha makundi ya kigaidi, Nigeria, Somalia, Kenya, Congo, Sudan, nk.
Kwa nini watumie maneno ya Quran, kama taqbir wanapokuwa wanachinja watu.