Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

Ni kweli Waislam kwasasa wapo wengi sana kwenye hizi shule za kikristo zinazofanya vizuri kulinganisha na zamani, lakini sio ''Majority''

Ila shule za kiislam nyingi hazisajili wanafunzi Wakristo.
Kwamba Aga Khan ni shule ya Kikristo? Shule nyingi za kiisilamu zinazofanya vizuri wakristo pia wapo, watu wanafuata Shule Nzuri Bila kujali dini.

Kwa sasa huku kwetu Tanga shule inayofanya vizuri ni Istiqama na viongozi wengi wa serikali na matajiri wa Tanga watoto wao wanasoma huko.

Na kwa ushahidi zaidi kuna shule ya Kiisilamu iliungua juzi juzi hapa Binyamungu islamic huko kagera, haya yalikuwa mazishi ya wanafunzi 10


Unaona kabisa jeneza na msalaba hao ni wakristo walikuwa wakisoma shule ya Waisilamu.
 
Dubai ipo uarabuni but imejengwa na watu kutoka sehemu mbali mbali mfano hao wazungu wana mahotel yao makubwa dubai na masupermarket, hata wahindi wamejenga huko hao waarabu ukifanya utafiti utaone majengo machache ndio wanamiliki wao na ndio maana kama hujui dubai christmas ni kama ulaya dubai kama yote wanasherekea christmas ndipo ujue wageni ni wengi sana kuliko wazawa wa huko ukitaka kuhakiki hilo nenda christmas hii kajionee yaani kote wanapamba miti christmas na makanisa yapo kibao tu
 
Hivi unajua misri, syria, iraq, algeria, gaza,, hazikuwa high muslim populated?,
Nenda sasa ugoogle, ISLAMISATION,,
so ulaya 2050 itakuwa si hii ya leo[emoji134][emoji134]
Unaota mchana kweupe ndio maana umetaja miaka ambayo hautokuwepo, kwanini usiseme hizo nchi ulizotaja zitakuwa za kikristo??!!
 
Ndugu zangu wote tunagombana kwa ajili gani kuhusu dini?,waislamu kuna Mtume Mohamedi na Wakristo kuna Yesu Kristu hawa ni aina ya Mitume wawili,Yesu anasema yeye mwana wa Mungu na Injili inathibitisha hivyo na Mtume Mohamedi anadai ni Mtume wa Mungu na Kuruani inathibisha hivyo.Katika hilo anaye dhani aende upande huu si aende!! Mbona sioni mgogoro,kwani mwamuzi ni wewe mwenyewe uwe mkristu au Mwislamu ni sawa ugomvi wa nini?.siku ya mwisho ndipo tutamuona nani ni nani .kama kuna niliemkwaza samahani sana .
 
Walio tuletea dini hawapo,tumebaki kubishana dini ipi Bora kuliko nyingine.
 
Na mbaya zaidi wanamuabudu pasina wenyewe kujijua.
Niulize swali kwa hzo pande,
Zile alama za Nyota na mwezi zina maana gani?
Na kwa nn zikae mbele/juu ya sehemu ya ibada?. Kwa nn kufunga na kufungua swahum zinafuata mzunguko wa mwezi.?
Mecca Ni mji mtakatifu wanaokwenda Kufanya hijjah na umrah (usisahau kuna ibada ya kupiga Kama sio kubusu mawe meusi) lakini kuna watu pale hawaswali huo msikiti Wala kukanyaga[emoji15]

Kwa nn kuna sanamu na picha/sanamu inayo fananishwa na ya Yesu Kristo?.
Kwa nn Biblia iko zaidi ya kitabu kimoja(sio mkusanyiko wa kitabu kimoja kupata Biblia) kuna moja ina vitabu sitini plus ,, nyingine sabini plus.?
Kwa nn mnayasema msiyoyayenda!?
Quran na Biblia zinatofautiana kwnye kuitafsili Biblia yenyewe,.jibu sijalipata kwa nn vitabu vizidiane.
Dunia iko salama km utaamua njia ipi ya kuelekea,Ni vema kujifunza Ila sio kujua kila kitu
 
Wanaamini Mungu wao aliumba dunia nzima na si nchi yao tu na ni Mungu wa dunia nzima hivyo popote wanaweza kwenda.
Na ndio maana wana hadithi pia ukiacha quran ili kujaribu kujitetea kumbe wanajianika tu,eti ukifa na dhambi joka linakujia kaburini na kukunyofoa macho hivi huyo nyoka ni aina gani?!
 
Asee yaani Uzi umepoteza dira kabisa!
 
Kwanzaa Mkuu ufahamu hao Raia wa UAE na Nchi nyengine za gulf gdp per capita ni $50,000 mpaka $100,000 wao ndio wamewaleta hao wahindi na wazungu sababu local wana hela nyingi za kuspend. Average mtu dubai Ana hela kuliko Nchi za marekani ama majority ya Nchi za ulaya. Why wasije Tanzania ama Nigeria why wakajenge Dubai?

Na kama Logic ni kujenga na ku own biashara basi Bidhaa nyingi kubwa Duniani zinamilikiwa na hao waarabu kwa asilimia kadhaa ama Biashara nzima,

Mifano ya Biashara ni kama Global foundry wanaotengeneza Chip za Amd kama unatumia ps4 ama Xbox unahusika, prince WA Saudi ni mmiliki mkubwa WA Twitter baada ya founder, vevo ambayo karibia wasanii wote YouTube wanaotumia ku upload video nk

Kasome Investment funds kama Mubadala ya Uae wana share Hadi telegram huko.

Bado Kuna Funds nyingi sana Eneo hilo, Ile ilionunua Newcastle tu ni zaidi ya Trilioni 1000 pia ina hisa kubwa makampuni kama Facebook, Uber, Boeing, General motors, Disney na makampuni mengine Mengi.

Kifupi Mkuu ni Almost impossible kukuta kampuni kubwa ambayo hela za waarabu hazijaingia.

Jiulize kwanini Marekani Mwarabu na Muiran anatambulika kama White, bila kujali alipotoka ila wengine ataitwa Mhindi, mlatino etc. Hata sensa za Marekani Mwarabu ni white, Biashara zao nyingi kubwa zimeanzishwa na hao watu, ndio maana leo mtu kama Carlos slim ama Steve job wanaonekana tu kama wazungu na sio waarabu.
 
Kuna kipindi nilikuwa mtu mjinga sana wa kuanza kuipigania Dini lakini na kumpigania Mungu lakini sahivi huu ujinga nimeamua kuuacha kabisa nashangaa Hawa waarabu weusi wa tandale wanavyoendelea kuutusumbua na kutupigia mikelele
 
Na Kuna Kila mwaka at least vijana wa kiislamu zaidi ya laki Moja wanaugeuka kuwa maapostate every single year hii ni kulingana na ali Dawah
 
Mm so mtu wa Dini lakini kwanza umedanganya unasema uislamu unanguzo sita na wakati ni Tano

Pili katika kusema injili ime be corrupted hii inathibitisha Mungu wako Allah ni mpuuzi sana Maana Yeye mwenyewe ndo anajitambulisha kuwa alishusha Torah,Zaburi,injili Sasa iweje makafiri wamshinde Allah na kuchakachua

Dini ni ujinga mzuri na ni pombe ya kijinga sana Maana hata hiyo Quran iliyopo Kuna hadithi nyingi ambazo zinasema kuwa sehemu kubwa ya Quran imepotea Kwa mfano kupotea Kwa Aya zaidi mia mbili kutoka kwenye Surat Al-azhab Kuna Hadith pia ambayo Umar mwenyewe anasema kuwa sehemu kubwa ya Quran imepotea
 
Mm so mtu wa Dini lakini kwanza umedanganya unasema uislamu unanguzo sita na wakati ni Tano

Pili katika kusema injili ime be corrupted hii inathibitisha Mungu wako Allah ni mpuuzi sana Maana Yeye mwenyewe ndo anajitambulisha kuwa alishusha Torah,Zaburi,injili Sasa iweje makafiri wamshinde Allah na kuchakachua

Dini ni ujinga mzuri na ni pombe ya kijinga sana Maana hata hiyo Quran iliyopo Kuna hadithi nyingi ambazo zinasema kuwa sehemu kubwa ya Quran imepotea Kwa mfano kupotea Kwa Aya zaidi mia mbili kutoka kwenye Surat Al-azhab Kuna Hadith pia ambayo Umar mwenyewe anasema kuwa sehemu kubwa ya Quran imepotea
 
Mm so mtu wa Dini lakini kwanza umedanganya unasema uislamu unanguzo sita na wakati ni Tano
Zipo nguzo za Imani na nguzo za uisilamu nimeongelea za Imani soma between lines.
Pili katika kusema injili ime be corrupted hii inathibitisha Mungu wako Allah ni mpuuzi sana Maana Yeye mwenyewe ndo anajitambulisha kuwa alishusha Torah,Zaburi,injili Sasa iweje makafiri wamshinde Allah na kuchakachua
Mkuu tumeumbwa hivyo Binadamu tumeumbwa na free will, mwenyez Mungu ametuumba na kutupa uwezo WA kuasi.

Vipo viumbe vimeumbwa visiasi, mfano Malaika, ingekuwa hili jambo limetokea kwa Malaika hoja yako ingekuwa na nguvu.
Source ya hii hoja yako? Sijawahi iona mahala popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…