technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Madafu yamekuwa dollar tena?Asante jpm maana thamani ya pesa imerudi siyo kila mmoja anatamba, sasa hivi mwenyepesa anaheshimiwa
Haaaah usinikumbushe kule mtongani Kwa azizi ally natamani kuwa uko tena....Fenesi lenyewe haliko kitaani....siku hizi linauzwa town....Niliitwa MZEE WA KUKU......sasa wananiita MZEE WA MWENDOKASI....nasubiri kigiza tu kiingie... NAISHAMBULIA MIGUU YA KUKU kwa fujo...wamenipachika jina eti MZEE WA MWENDOKASI....kudadeki....tutamkumbuka MTU WA WATU....
Unagongea ule wa kufunga kwenye saani bandiahakuna pesa ya kula ofcn ....saiv nko level moja na boss...............na tunakula lunch kwa mama michael