Mashetani forum

Mashetani forum

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Hii ni kwa wale wote wanaoisoma namba mtaani toka utawala wa awamu ya tano umeanza.......

Ile kauli ya Rais ya kuwageuza baadhi ya malaika waishi kama mashetani sasa nataka kila mtu ambaye kauli hii imemgusa kwa namna moja hama nyingine atueleze ni kwa namna gani maisha yake yamebadilika either kuwa kama shetani au kuwa kama malaika.

Funguka mkuu usiogope kusema mazuri uyoyapata au mabaya yaliyokukuta.
 
Kuna watu waliitwa mishen town sijui ni taasisi gani hiyo kuishi kiujanja ujanja sio kitu cha kudumu.
 
Asante jpm maana thamani ya pesa imerudi siyo kila mmoja anatamba, sasa hivi mwenyepesa anaheshimiwa
 
Fenesi lenyewe haliko kitaani....siku hizi linauzwa town....Niliitwa MZEE WA KUKU......sasa wananiita MZEE WA MWENDOKASI....nasubiri kigiza tu kiingie... NAISHAMBULIA MIGUU YA KUKU kwa fujo...wamenipachika jina eti MZEE WA MWENDOKASI....kudadeki....tutamkumbuka MTU WA WATU....
 
hakuna pesa ya kula ofcn ....saiv nko level moja na boss...............na tunakula lunch kwa mama michael
 
Fenesi lenyewe haliko kitaani....siku hizi linauzwa town....Niliitwa MZEE WA KUKU......sasa wananiita MZEE WA MWENDOKASI....nasubiri kigiza tu kiingie... NAISHAMBULIA MIGUU YA KUKU kwa fujo...wamenipachika jina eti MZEE WA MWENDOKASI....kudadeki....tutamkumbuka MTU WA WATU....
Haaaah usinikumbushe kule mtongani Kwa azizi ally natamani kuwa uko tena....
 
Back
Top Bottom