Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waziri Mashimba yuko vizuri, Sio mpiga dili kama yule nanilii....
 
"Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "😍😍😍
 
Wahuni sio watu,
 
HUU NI MCHEZO WA KALEMANI,
 
saidoo25 wewe ni mpumbafu na kamwe hamtaupata huo uwaziri
 
Hili la hereni naunga mkono hoja kwa 100%
 
Hata miimi kimekuwa kikiniudhi Sana hiki kitendo cha kumsakama huyu Waziri, tena ni ni wana CCM kabisa hao, shame on you
 
it is called "Roho Mbaya "
 
Hii ni mbaya Sana ukizingatia sisi ni chama kimoja
 
Tuchape kazi tuache maneno maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…