Mashimo ya choo yasiyo jaa (Biodigester)

Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote!
Kuna kuwa na mashimo mawili ambapo shimo Moja ni kwaajili ya Maji taka Yale ya kuogea na yanayotoka jikoni ambayo yanakuwa na chemicals za Sabuni za kuogea na kuoshea vyombo. Haya Maji Huwa yanaelekezwa kwenye shimo kubwa kidogo lililojazwa mawe na kufukiwa.
Na shimo la pili hili Huwa limejengwa Kwa zege na linafunikwa na ndiyo linalowekwa hao bacteria ambao husaidia kula kinyesi. Na shimo hili Huwa halitakiw kuelekezwa na Maji ya bafuni na jikoni kwasababu ya Maji yake ambayo yana chemicals ambao wanaweza kuua wale bacteria.
Na hii ya mashimo mawili ndo best maana maji yanatawanyika kwenye shimo lenye mawe.
 
Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote!
Kuna kuwa na mashimo mawili ambapo shimo Moja ni kwaajili ya Maji taka Yale ya kuogea na yanayotoka jikoni ambayo yanakuwa na chemicals za Sabuni za kuogea na kuoshea vyombo. Haya Maji Huwa yanaelekezwa kwenye shimo kubwa kidogo lililojazwa mawe na kufukiwa.
Na shimo la pili hili Huwa limejengwa Kwa zege na linafunikwa na ndiyo linalowekwa hao bacteria ambao husaidia kula kinyesi. Na shimo hili Huwa halitakiw kuelekezwa na Maji ya bafuni na jikoni kwasababu ya Maji yake ambayo yana chemicals ambao wanaweza kuua wale bacteria.
Mfano unaosha sink za choo ,kitu ambayo sometimes unatumia sabuni kali kungarisha sink hapo inakuwaje ?
 
Back
Top Bottom