Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kwa maelezo yao anapandikiza. Ila hawataki uone wanavyofanya.Hao wadudu wanawapandikizaje humo au wanatokea wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo yao anapandikiza. Ila hawataki uone wanavyofanya.Hao wadudu wanawapandikizaje humo au wanatokea wenyewe?
Na hii ya mashimo mawili ndo best maana maji yanatawanyika kwenye shimo lenye mawe.Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote!
Kuna kuwa na mashimo mawili ambapo shimo Moja ni kwaajili ya Maji taka Yale ya kuogea na yanayotoka jikoni ambayo yanakuwa na chemicals za Sabuni za kuogea na kuoshea vyombo. Haya Maji Huwa yanaelekezwa kwenye shimo kubwa kidogo lililojazwa mawe na kufukiwa.
Na shimo la pili hili Huwa limejengwa Kwa zege na linafunikwa na ndiyo linalowekwa hao bacteria ambao husaidia kula kinyesi. Na shimo hili Huwa halitakiw kuelekezwa na Maji ya bafuni na jikoni kwasababu ya Maji yake ambayo yana chemicals ambao wanaweza kuua wale bacteria.
Natafuta sana kujua, ni kawaida ya Mwafrika kuficha.Kwa maelezo yao anapandikiza. Ila hawataki uone wanavyofanya.
Mfano unaosha sink za choo ,kitu ambayo sometimes unatumia sabuni kali kungarisha sink hapo inakuwaje ?Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote!