Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Aliugua sana kichwa akapelekwa hospitali, huko alilazwa siku nyingi akiugulia. Ndugu zake walikua wanahangaika sana kumtibia hadi akapata nafuu...
Simba wa dom nae anabalaa kwenye mabauna,, zile ngoma 4 za kuanzishiana Nduli amekufa ngapi mkuu ??Waliiongia nusu faunal Ronald,issa mamba,Simba was Dodoma Na noel namaloe
Mechi zinaanza saa ngapi leo mkuuWaliiongia nusu faunal Ronald,issa mamba,Simba was Dodoma Na noel namaloe
Anaitwa Omari Kiwembe, wamekuwa ki madaft pamoja na Noeli.Namkumbuka omari kiama
Anaitwa Omari Kiwembe, wamekuwa ki madaft pamoja na Noeli.
Watu hatari hao mama wanacheza kete za sumu sanaHawa watu mnawajuaje?
Watu hatari hao mama wanacheza kete za sumu sana
Drafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.Hawa watu mnawajuaje?
Kunakuwaga na mashindano ya draft yani kama ligi fulani sasa wanatokaga magwiji wote kutoka mikoa tofauti kuja kushindana ndo tunapata kuwajuaSawa. Nyinyinawajuaje. Mfano wewe umewajuaje.. Unaishi mitaa yao, unafatilia vipindi vya michezo TV ama.
Maana mie simjui hata mmoja.
Kunakuwaga na mashindano ya draft yani kama ligi fulani sasa wanatokaga magwiji wote kutoka mikoa tofauti kuja kushindana ndo tunapata kuwajua
Haaaaaahaaaaa nishajua hesabu yako unatamani fainali ya Ronaldo Vs Simba wa DodomaIli gemu iwe nzuri nusu fainali iwe kati ya Ronaldo vs Neoli namaloe
Issa mamba vs Simba wa dodoma.
HaaaaaahaaaaaDrafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.
Wengi wanafuatilia dunia ya Wasanii, wanasiasa, wacheza mpira nk.
Sisi tunaijua dunia ya Magwiji wa Madrafti, ktk mikoa mbali mbali hapa nchini.
Huko kuna Migwiji yenye majina na vitendo vya Kutisha sana kama akina,
Bedui, Nduli, Mchafukoge, Mangwelele, Mamba, Gaidi, Simba, Noa, Noeli, Shaaban katoto nk.
Hiyo mijitu hadi sura zao zinatisha kuzitizama.
Aisee... Panakua na mdhamini?
Namaanisha gharama za malazi, chakula na nini nani anazicover. Na mshindi anapewa pesa kabisa?
Hii inategemea na mdhamini, kuna jamaa anaitwa Costa wa Singida huyo akiandaa huwa anawapa nauli ya kwenda na kurudi, posho ya kuacha home, chakula na malazi, pamoja na zawadi za washindi.Yaa mdhamini yupo na mshindi anaondoka na mpunga wa kutosha, msosi wanapewa ila malazi ndo hakunaga wanakutana ulingoni tu
Pia nataka nishuhudie gemu kati yaHaaaaaahaaaaa nishajua hesabu yako unatamani fainali ya Ronaldo Vs Simba wa Dodoma
Dah unaomba silaha kizembe hivi Mkuu?Wakuu naomba mnipe kopi chache ambazo mtu akiingia hatoki.