Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Kumbe wewe haujui draft.
Kati ya French na British draft gani zuri?
Najua kucheza michezo yote na ndiyo manana nikasema hivyo. Hayupo mtu anayejua kucheza michezo yote hii miwili ambaye amaweza akakuambia kuwa British nao ni mchezo. Ni yule tu ambaye huwa hachezi French ndiyo anaweza akausifia mchezo wa British
 
Aliugua sana kichwa akapelekwa hospitali, huko alilazwa siku nyingi akiugulia. Ndugu zake walikua wanahangaika sana kumtibia hadi akapata nafuu

Madaktari wakaiambia familia yake kua huyu mgonjwa wenu inaonekana kuna kitu anakifanya kwa kufikiria sana inatakiwa apunguze au akiache kabisa.

Mangwezi akamjibu daktari kua nasomaga magazeti tu, sa familia yake ikaropoka kua kua muongo anachezaga madraft
Ahahaaaaaa....!

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Afu kama namfananisha uyu jamaa na jamaa flani nae ni fundi wa mbeya anaitwa noeli nyingi (kipindi kile alikua maarufu kama bonge )
Noel ni miongoni wa mafundi wazito wa bao asiye na maneno, jamaa huwa namkubali sana ni mstaarabu hatari.
 
Afu kama namfananisha uyu jamaa na jamaa flani nae ni fundi wa mbeya anaitwa noeli nyingi (kipindi kile alikua maarufu kama bonge )
Noel huyu ni wa Dar ila kwa sasa nadhani yupo Njombe kikazi.
 
Back
Top Bottom