Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Drafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.
Wengi wanafuatilia dunia ya Wasanii, wanasiasa, wacheza mpira nk.

Sisi tunaijua dunia ya Magwiji wa Madrafti, ktk mikoa mbali mbali hapa nchini.
Huko kuna Migwiji yenye majina na vitendo vya Kutisha sana kama akina,
Bedui, Nduli, Mchafukoge, Mangwelele, Mamba, Gaidi, Simba, Noa, Noeli, Shaaban katoto nk.
Hiyo mijitu hadi sura zao zinatisha kuzitizama.
Kabisa mwanangu
 
Na inaonanekana Isa Mamba Yuko vizur Sana sema single mistake imempoteza kwa Noel, na nahis mechi zikichezwa Kati ya Noel na ISSA itakuwa ngumu sana
Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.
Tokea Omari Kiwembe na Mangwelele waache kucheza Drafti Noeli hana Mpinzani.
Labda asishiriki, huyo mtu ana njaa ya kufa mtu, halafu hana majigambo.
Ila amewaharibia wenzake liziki, Noeli ana kazi huko Mafinga, wanzake wanategemea sana pesa ya Drafti ukiacha huyo Mwalimu Simba.
 
Noel ni fundi hasa. Alikuwaga bingwa wa draft kipindi cha nyuma. Ameanza kurud
 
Kashinda game zote Noeli. Noel n bingwa wa draft Tanzania wa sasa na huko nyuma.
Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.
Tokea Omari Kiwembe na Mangwelele waache kucheza Drafti Noeli hana Mpinzani.
Labda asishiriki, huyo mtu ana njaa ya kufa mtu, halafu hana majigambo.
Ila amewaharibia wenzake liziki, Noeli ana kazi huko Mafinga, wanzake wanategemea sana pesa ya Drafti ukiacha huyo Mwalimu Simba.
 
Simba wa Dom nusu final amektna Na Ronald Ronald 2 Simba wa Dom 1, Noel namaloe ( Askofu was mabao) 1 Issa mamba 0 faunal Ronald 1 Noel namloe 3
 
Kuna jamaa alimchalenji sana anaitwa Swed zilipigwa kete za hatari wakatoka bilabila ikabidi waongezewe michezo ndo akamtoa
Swed namjua naye ni mchezaji mzuri, pia hana maneno mengi kama ilivyo kwa Noel pia.

Ila naamini Noel game za huku nyuma amezivuta sana kwa sababu hakutaka kutoa silaha zake mapema ambazo ndio zimetumika kwenye final.

Kama akitumia 'mishale' yake wengi wanapotea mapema sana kwa huyu fundi na kudhihirisha hilo kamuua Ronaldo ambaye kwa sasa anachachafya sana kwenye bao.
 
Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.
Tokea Omari Kiwembe na Mangwelele waache kucheza Drafti Noeli hana Mpinzani.
Labda asishiriki, huyo mtu ana njaa ya kufa mtu, halafu hana majigambo.
Ila amewaharibia wenzake liziki, Noeli ana kazi huko Mafinga, wanzake wanategemea sana pesa ya Drafti ukiacha huyo Mwalimu Simba.
Uko sahihi mkuu,Noel ni level za kina Mangwelele hao wengine wanasubiri mbali sema kwa kuwa hayupo Dar kwa sasa ndio maana hazungumzwi sana. Na bado pamoja na kuwa yupo eneo ambalo hakuna wakali wa mabao (hana mazoezi ya kutosha) lakini bado kadhihirisha ni mwamba.
 
Back
Top Bottom