Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Uko sahihiPia nataka nishuhudie gemu kati ya
Ronaldo Vs Noeli.
wanajifanya wanaheshimiana yaani timu moja.
Sijawahi shuhudia pambano lao.
Mamba vs Ronaldo vs Simba, washacheza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiPia nataka nishuhudie gemu kati ya
Ronaldo Vs Noeli.
wanajifanya wanaheshimiana yaani timu moja.
Sijawahi shuhudia pambano lao.
Mamba vs Ronaldo vs Simba, washacheza sana.
Pia nataka nishuhudie gemu kati ya
Ronaldo Vs Noeli.
wanajifanya wanaheshimiana yaani timu moja.
Sijawahi shuhudia pambano lao.
Mamba vs Ronaldo vs Simba, washacheza sana.
Sante nimefurahi sanaAt last fainal imekuwa kwa game ulizotaka kuona.
NdioKwahiyo Bingwa Noel au?
Kabisa mwananguDrafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.
Wengi wanafuatilia dunia ya Wasanii, wanasiasa, wacheza mpira nk.
Sisi tunaijua dunia ya Magwiji wa Madrafti, ktk mikoa mbali mbali hapa nchini.
Huko kuna Migwiji yenye majina na vitendo vya Kutisha sana kama akina,
Bedui, Nduli, Mchafukoge, Mangwelele, Mamba, Gaidi, Simba, Noa, Noeli, Shaaban katoto nk.
Hiyo mijitu hadi sura zao zinatisha kuzitizama.
Kuna jamaa alimchalenji sana anaitwa Swed zilipigwa kete za hatari wakatoka bilabila ikabidi waongezewe michezo ndo akamtoaNoel ni miongoni wa mafundi wazito wa bao asiye na maneno, jamaa huwa namkubali sana ni mstaarabu hatari.
Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.Na inaonanekana Isa Mamba Yuko vizur Sana sema single mistake imempoteza kwa Noel, na nahis mechi zikichezwa Kati ya Noel na ISSA itakuwa ngumu sana
Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.
Tokea Omari Kiwembe na Mangwelele waache kucheza Drafti Noeli hana Mpinzani.
Labda asishiriki, huyo mtu ana njaa ya kufa mtu, halafu hana majigambo.
Ila amewaharibia wenzake liziki, Noeli ana kazi huko Mafinga, wanzake wanategemea sana pesa ya Drafti ukiacha huyo Mwalimu Simba.
Sema hakuwa amefungwa hata goli moja, angefungwa gem moja angeisha tolewa.Noel mpaka anafika fainali hakuwa amefungwa hata game moja.
Magoli mbona kafungwa sanaSema hakuwa amefungwa hata goli moja, angefungwa gem moja angeisha tolewa.
Kufika fainali maana yake hujafungwa gemu yoyote, hivyo hata Ronaldo naye hakufungwa hadi Fainali.Magoli mbona kafungwa sana
Simba wa Dom nusu final amektna Na Ronald Ronald 2 Simba wa Dom 1, Noel namaloe ( Askofu was mabao) 1 Issa mamba 0 faunal Ronald 1 Noel namloe 3
Swed namjua naye ni mchezaji mzuri, pia hana maneno mengi kama ilivyo kwa Noel pia.Kuna jamaa alimchalenji sana anaitwa Swed zilipigwa kete za hatari wakatoka bilabila ikabidi waongezewe michezo ndo akamtoa
Uko sahihi mkuu,Noel ni level za kina Mangwelele hao wengine wanasubiri mbali sema kwa kuwa hayupo Dar kwa sasa ndio maana hazungumzwi sana. Na bado pamoja na kuwa yupo eneo ambalo hakuna wakali wa mabao (hana mazoezi ya kutosha) lakini bado kadhihirisha ni mwamba.Kwa rekodi ya Noeli, Mamba angekufa tu, Noeli yuko juu ya wote hapo. Watu wote wa Madananga wanalitambua hilo.
Tokea Omari Kiwembe na Mangwelele waache kucheza Drafti Noeli hana Mpinzani.
Labda asishiriki, huyo mtu ana njaa ya kufa mtu, halafu hana majigambo.
Ila amewaharibia wenzake liziki, Noeli ana kazi huko Mafinga, wanzake wanategemea sana pesa ya Drafti ukiacha huyo Mwalimu Simba.