Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Nasikia game za mitoano ilikuwa zilipigwa 14; 7 anaanza huyu na 7 anaanza mwingine.

Na kwenye kuanza kila game unaanza kete tofauti na ile ya mwanzo, kwa michezo hiyo 7 yote unaanza kete tofauti.
Duh hapo ili ushinde lazima uwe na hazina ya ufundi wa mabao, yaani uwe na 'miguu' ya kutosha.

Sasa nimeelewa kwa nini Noel kaibuka na ubingwa, mashindano yalitoa nafasi ya bingwa kudhihirisha ubingwa wake na kwenye hilo sina shaka na Noel, jamaa ni legendary kwenye mabao.
 
Na mkitoka droo hapo zinapigwa za kufikiria sekunde 30 tu, then za sekunde 14.

Mkitoa droo inaingia zamu ya goli la kifo.

Mashindano yalikuwa magumu sana.
 
Hakuna idadi ya games, atakayetangulia kupata goli hapo mchezo umekwisha.

Na mnakuwa mnapishana kuanza, akianza huyu game ya kwanza, ya pili anaanza mwingine.
Ooh sawa nimekuelewa, kwenye suala la muda pia kama hauko fasta kufikiri unapotea asubuhi tu. Walifanya vema maana hawa jamaa usipowabana na sheria wanaweza kutoa sare hata mwezi mzima usipate mshindi.
 
Wanajuana vizuri, ukiacha watu wacheze ngoma zao itakuwa droo mwanzo mwisho.

Muda pia ni muhimu, otherwise draft moja unaweza kukesha nalo masaa.
 
Ni kweli kabisa walioandaa sheria za mashindano walifanya vizuri.

Lakini pia nadhani yamekuwa ni mashindano yanayo muexpose mchezaji kwenye different situations hivyo yanatoa 'The true Champion' ambaye amekuwa tested from multiple angles against multiple players.
 
As a Champion, you need to be versatile and an all round player.
 
Kama Draft Ni Hilo La Row tatu column Nne wanaojua Siku zote Litaishia Draw.

Kama Kuna Anayefungwa maana Yake Hajui. Nimemaliza
 
Fundi huyo mmemwona
Screenshot_20200618-014755.jpeg
 
Back
Top Bottom