Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Hawa watu mnawajuaje?
Drafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.
Wengi wanafuatilia dunia ya Wasanii, wanasiasa, wacheza mpira nk.

Sisi tunaijua dunia ya Magwiji wa Madrafti, ktk mikoa mbali mbali hapa nchini.
Huko kuna Migwiji yenye majina na vitendo vya Kutisha sana kama akina,
Bedui, Nduli, Mchafukoge, Mangwelele, Mamba, Gaidi, Simba, Noa, Noeli, Shaaban katoto nk.
Hiyo mijitu hadi sura zao zinatisha kuzitizama.
 
Kunakuwaga na mashindano ya draft yani kama ligi fulani sasa wanatokaga magwiji wote kutoka mikoa tofauti kuja kushindana ndo tunapata kuwajua

Aisee... Panakua na mdhamini?
Namaanisha gharama za malazi, chakula na nini nani anazicover. Na mshindi anapewa pesa kabisa?
 
Drafti lina dunia yake dada, ambayo wengi hawaifuatilii.
Wengi wanafuatilia dunia ya Wasanii, wanasiasa, wacheza mpira nk.

Sisi tunaijua dunia ya Magwiji wa Madrafti, ktk mikoa mbali mbali hapa nchini.
Huko kuna Migwiji yenye majina na vitendo vya Kutisha sana kama akina,
Bedui, Nduli, Mchafukoge, Mangwelele, Mamba, Gaidi, Simba, Noa, Noeli, Shaaban katoto nk.
Hiyo mijitu hadi sura zao zinatisha kuzitizama.
Haaaaaahaaaaa
 
Aisee... Panakua na mdhamini?
Namaanisha gharama za malazi, chakula na nini nani anazicover. Na mshindi anapewa pesa kabisa?
Yaa mdhamini yupo na mshindi anaondoka na mpunga wa kutosha, msosi wanapewa ila malazi ndo hakunaga wanakutana ulingoni tu
Hii inategemea na mdhamini, kuna jamaa anaitwa Costa wa Singida huyo akiandaa huwa anawapa nauli ya kwenda na kurudi, posho ya kuacha home, chakula na malazi, pamoja na zawadi za washindi.
 
Napenda mchezo huu
Wakuu update ya nan kaibuka mshindi baada ya mchezo wa fainali
 
Back
Top Bottom