The boy tz
Senior Member
- Sep 25, 2018
- 116
- 105
Ebu nipe chimbo mkuu mana kuna mpaka vitabu vya draftDah unaomba silaha kizembe hivi Mkuu?
Napenda mchezo huu
Wakuu update ya nan kaibuka mshindi baada ya mchezo wa fainali
Mi nacheza michezo yote ila napendele French zaidi. Wewe pia unacheza yote?Mi nikiskia mtu anacheza french nawaza kama wewe
Ha haaa, tembelea kwa 'mafundi' unampoza fundi na kiasi fulani then atakupa copy kadhaa za kusumbulia wenzio.Ebu nipe chimbo mkuu mana kuna mpaka vitabu vya draft
Duh Simba wa Dom anaonekana ana balaa na nusu, kama kamuua Nduli na kisha Ronaldo huyo sio wa sport sport aisee hao wawili ni watata sana kwenye haya madude.Simba wa Dodoma kashinda. Amemgaragaza huyo munamuita Ronaldo
Tunasubiri matokeo ya Issa Mamba vs NoeliSimba wa Dodoma kashinda. Amemgaragaza huyo munamuita Ronaldo
Sawa mama debora,, kauliwa ngapi ronaldo na mnyonya damu simba wa domSimba wa Dodoma kashinda. Amemgaragaza huyo munamuita Ronaldo
Hapana, french silifurahii kabisaMi nacheza michezo yote ila napendele French zaidi. Wewe pia unacheza yote?
Namna hii FedhehaMashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
View attachment 1474666
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Hizi taarifa umezitoa wapi ? Humu jukwa hili halihitaji habari zisizo na ushahidi. humu ni kwa watu wakweli. Humu sio MMU.Simba wa Dodoma kashinda. Amemgaragaza huyo munamuita Ronaldo
Hapana, french silifurahii kabisa
Mchezo wa tisa Noel anaongoza 1,na Ronaldo anaongoza 1 mchezo wa sabaFrench ndio lile unakula mbele na nyuma?
Sorry kwa kukuquoteFrench ndio lile unakula mbele na nyuma?
Sorry kwa kukuquote
Mimi nikishasikia mtu anacheza British wala huwa sielewi ni nini kinamfanya acheze mchezo wa kitoto hivyo
Noeli anacheza na nani na Ronaldo na nani, andika habali kamiliMchezo wa tisa Noel anaongoza 1,na Ronaldo anaongoza 1 mchezo wa saba
Juu huko imeandikwa jembe,Noel kaingia final,kashinda 1-0 dhidi ya mamba,Ronald kasawazishiwa ktk mchezo wa 11Noeli anacheza na nani na Ronaldo na nani, andika habali kamili
Ronald anacheza na Simba wa dodomaJuu huko imeandikwa jembe,Noel kaingia final,kashinda 1-0 dhidi ya mamba,Ronald kasawazishiwa ktk mchezo wa 11
Noeli anachukua. Hakuna Namna hapo, yaani hao akina Ronaldo na Simba wanakamilisha ratiba tu.Juu huko imeandikwa jembe,Noel kaingia final,kashinda 1-0 dhidi ya mamba,Ronald kasawazishiwa ktk mchezo wa 11
wewe mama debora ni MMU unayajuaje haya ya wababaSimba wa Dodoma kashinda. Amemgaragaza huyo munamuita Ronaldo