Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Kumbe wewe haujui draft.
Kati ya French na British draft gani zuri?
Najua kucheza michezo yote na ndiyo manana nikasema hivyo. Hayupo mtu anayejua kucheza michezo yote hii miwili ambaye amaweza akakuambia kuwa British nao ni mchezo. Ni yule tu ambaye huwa hachezi French ndiyo anaweza akausifia mchezo wa British
 
Jet lee? Jina kapewa na nani hili? Haya majina ya hivyo tunayo mafundi tu, mimi naitwa Bruce Lee, ila ufundi wangu sikwambii ni wa nini.
Kama sijakosea itakuwa wa kupuliza mmea mkuu. (Natania tu usije ukanipa za Bruce Lee)

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ahahaaaaaa....!

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Afu kama namfananisha uyu jamaa na jamaa flani nae ni fundi wa mbeya anaitwa noeli nyingi (kipindi kile alikua maarufu kama bonge )
Noel ni miongoni wa mafundi wazito wa bao asiye na maneno, jamaa huwa namkubali sana ni mstaarabu hatari.
 
Afu kama namfananisha uyu jamaa na jamaa flani nae ni fundi wa mbeya anaitwa noeli nyingi (kipindi kile alikua maarufu kama bonge )
Noel huyu ni wa Dar ila kwa sasa nadhani yupo Njombe kikazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…