Duh hapo ili ushinde lazima uwe na hazina ya ufundi wa mabao, yaani uwe na 'miguu' ya kutosha.Nasikia game za mitoano ilikuwa zilipigwa 14; 7 anaanza huyu na 7 anaanza mwingine.
Na kwenye kuanza kila game unaanza kete tofauti na ile ya mwanzo, kwa michezo hiyo 7 yote unaanza kete tofauti.
Duh hapo ili ushinde lazima uwe na hazina ya ufundi wa mabao, yaani uwe na 'miguu' ya kutosha.
Sasa nimeelewa kwa nini Noel kaibuka na ubingwa, mashindano yalitoa nafasi ya bingwa kudhihirisha ubingwa wake na kwenye hilo sina shaka na Noel, jamaa ni legendary kwenye mabao.
Dah hiyo balaa, hiyo ya goli la kifo inakuwaje?Na mkitoka droo hapo zinapigwa za kufikiria sekunde 30 tu, then za sekunde 14.
Mkitoa droo inaingia zamu ya goli la kifo.
Mashindano yalikuwa magumu sana.
Dah hiyo balaa, hiyo ya goli la kifo inakuwaje?
Mashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
View attachment 1474666
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Ooh sawa nimekuelewa, kwenye suala la muda pia kama hauko fasta kufikiri unapotea asubuhi tu. Walifanya vema maana hawa jamaa usipowabana na sheria wanaweza kutoa sare hata mwezi mzima usipate mshindi.Hakuna idadi ya games, atakayetangulia kupata goli hapo mchezo umekwisha.
Na mnakuwa mnapishana kuanza, akianza huyu game ya kwanza, ya pili anaanza mwingine.
Ooh sawa nimekuelewa, kwenye suala la muda pia kama hauko fasta kufikiri unapotea asubuhi tu. Walifanya vema maana hawa jamaa usipowabana na sheria wanaweza kutoa sare hata mwezi mzima usipate mshindi.
Ni kweli kabisa walioandaa sheria za mashindano walifanya vizuri.Wanajuana vizuri, ukiacha watu wacheze ngoma zao itakuwa droo mwanzo mwisho.
Muda pia ni muhimu, otherwise draft moja unaweza kukesha nalo masaa.
Ni kweli kabisa walioandaa sheria za mashindano walifanya vizuri.
Lakini pia nadhani yamekuwa ni mashindano yanayo muexpose mchezaji kwenye different situations hivyo yanatoa 'The true Champion' ambaye amekuwa tested from multiple angles against multiple players.
PointIle miondoko ya drafti iliyoshinda kuanzia hatua ya robo fainali ilibidi irekodiwe ili tusiohudhuria tuiangalie hata U-tube, au Wasap App.
Tuone miguu ya Ushindi ilitembeaje kuanzia robo fainali.
Vp hawarushi LIVE?Kama unatokea upande wa Tazara shuka banana chukua magar ya kitunda kisha shuka Nyaza ulizia ukumbi wa java co mbal mashndano yanaanza Saa tano asubh
hio ya sekunde 30 kama mtu hajakariri copy lazima aliweNa mkitoka droo hapo zinapigwa za kufikiria sekunde 30 tu, then za sekunde 14.
Mkitoa droo inaingia zamu ya goli la kifo.
Mashindano yalikuwa magumu sana.
Absolutely bro.As a Champion, you need to be versatile and an all round player.
Mimi nikishasikia mtu anacheza British wala huwa sielewi ni nini kinamfanya acheze mchezo wa kitoto hivyo
Noel huyu ni wa Dar ila kwa sasa nadhani yupo Njombe kikazi.
Huyu ni ronaldo ,, fundi mabauna..Fundi huyo mmemwonaView attachment 1481982
Hilo draft hapo limeisha ila mafundi huwa wabishi sana wanaendelea kukodolea.Fundi huyo mmemwonaView attachment 1481982
Sasa mafundi wanafikiria nini kete nne kwa moja,mimi sijui ila hata aje fundi gani asingechomoka hapo!!!Fundi huyo mmemwonaView attachment 1481982