Draft droo hiloSasa mafundi wanafikiria nini kete nne kwa moja,mimi sijui ila hata aje fundi gani asingechomoka hapo!!!
Draft droo hilo
Kumbe we bado sana kwenye mabaoLabda droo ya kabati.
Hata hivyo kweli me ni shabiki tu.Kumbe we bado sana kwenye mabao
Hata hivyo, Kete moja kwa nne ni goli. na hiyo kete haina pa kwenda bila kuliwa.Hata hivyo kweli me ni shabiki tu.
Kuna kitu inaitwa V ushawahi sikiaHata hivyo, Kete moja kwa nne ni goli. na hiyo kete haina pa kwenda bila kuliwa.
Inategemea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda droo ya kabati.
Mkuu angalia vizuri hilo draft harafu tuambie hiyo kete nyeupe inaenda wapi kama sio kuliwa kila upandeKuna kitu inaitwa V ushawahi sikia
Pamoja na kuwa me ni shabiki lakini bado hapo siioni hiyo sare jamaa anayoisema.Hata hivyo, Kete moja kwa nne ni goli. na hiyo kete haina pa kwenda bila kuliwa.
Hamna sare hapo.Pamoja na kuwa me ni shabiki lakini bado hapo siioni hiyo sare jamaa anayoisema.
Naijua mimi ni mchezaji wa mabao pia.Inategemea
Mzee mbona bingwa kapatikana? Au mmoja alikuwa hajui?Kwa sababu mkicheza Wawili mnaojua Always Mtaishia Draw
Asichokijua jamaa ni kuwa huko vijiwe vya draft hakunaga ukomo wa muda na pia hakuna utaratibu wa kuwabana wachezaji mtu anaweza fikiria kete moja hata saa zima sasa hapo atafungwaje?Mzee mbona bingwa kapatikana? Au mmoja alikuwa hajui?
Fyatuka mahisabati..mtoto wa dodomaWakali wengi wa mabao ni 'vimodo' muangalie dogo janja, Issa mamba, Kwata mwivi, Fyatuka nk. Shaban Kiraba ndiye bonge pekee 'anayesukuma kete'.
We hamna unalolijua..ASA kutafta V ndo kitu cha Ku justify ufundi kwenye mabaonazati..??Kuna kitu inaitwa V ushawahi sikia
Fyatuka mahisabati..mtoto wa dodoma