Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Fundi
 
Mzee mbona bingwa kapatikana? Au mmoja alikuwa hajui?
Asichokijua jamaa ni kuwa huko vijiwe vya draft hakunaga ukomo wa muda na pia hakuna utaratibu wa kuwabana wachezaji mtu anaweza fikiria kete moja hata saa zima sasa hapo atafungwaje?

Ni sawa na utoe mtihani usio na ukomo wa muda, hata mbulula atapata namna ya 'kujiongeza' afaulu.
 
Back
Top Bottom