Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Kuna vijiwe vikubwa sabasaba..majengo sokoni..na kubwa zaidi huwa wanatumiwa nauli kuja kudi scuss mabao...na kufundisha kwa helaUkiacha Dar, inaonekana Dodoma imebeba mabingwa wengi wa huu mchezo.
Ronaldo, Nduli (naye sasa hivi amebase Dom), Dogo Janja na Simba.
Kuna siri gani huko?
Java pale km unaenda kitunda? Opp na angaTar 3 Sept Mashindano ya Java.
Mwaka huu zawadi ni mil 1 kwa mshindi.
Java pale km unaenda kitunda? Opp na anga
Na save date nitafika hapo mkuuYes, hapo hapo.
Na save date nitafika hapo mkuu
InshalaahPoa poa Mkuu, tuombe uzima.
Jamaa kweli fundi,saluti kwake hapo hatoki uyo mpinzani