- Source #1
- View Source #1
- Source #2
- View Source #2
Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania..
Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
- Tunachokijua
- Suala la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuzindua Mashindano ya Super League nchini Tanzania. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika mwaka 2023 ambapo awali Rais wa CAF Dr Patrice Motsepe alitangaza kufanya uzinduzi huo nchini Tanzania ili kuweka hamasa kwa mchezo wa soka.
Mkutano huo wa ufunguzi ulifanyika Agosti 10, 2022, Kaskazini mwa Tanzania, mkoa wa Arusha.
Mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo itapigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa mnamo Oktoba 20, 2023 kati ya Simba na Al Ahly na yatatamatika kwenye mechi ya Fainali Novemba 11, 2023.