Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

Ingawa ni uzalendo kwanza nashangaa sana tena sana Mtanzania kukaa kitako kabisa chini na kuangalia mpira wa Taifa Stars na kutegemea matokeo mazuri.

Mpira ni burudani ila Taifa Stars iliferi toka day one kutupa burudani iyo.

Tuwekeze kwenye aina nyingine ya mchezo, tuwekeze kwa vijana...nguvu kubwa itumike kujenga aina mpya ya watu watakaowajibika na aina iyo ya mchezo tutakaoamua kuwekeza upya.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa stars ivyo ivyo tu.

Next time tujue kwamba hatujui na tuache ujinga wa Usimba na Uyanga.
 
Ujinga grade wanu hivi foward gani zinakosa magoli ya wazi mwanzo mwisho Boko ,shabalala wapo nje halafu unaweka watu wa hovyo tu ndiyo maana wengine walishazira kutazama game za stars ni upumbafu mno.
Nchimbi anakosa magoli anacheka tu wala hajali.
Asist zote za kapombe hakuna aliyecheza juu vichwa pale wapo tu.

Ujinga siasa michezoni.
 
Dakika 90, No shot on target.

Hizi klabu zetu haziwez wekeza kwa washambuliaji wa ndani.

Akina Salamba, Mbaraka et all wanapotea.

Hivi kweli Adam Adam wa kuvaa jezi no 10.
 
Boko yupo majeruhi.

Manyama kacheza vizuri. Pengo la Zimbwe limezibika.

Acha usimba
 

[emoji23][emoji23][emoji23] kupata vichekesho hivi tunatuma kwenda namba ipi?
 
Haya Mazambia huwa yanatudunda kila wakati wala sikuwa nategemea chochote.

Ngoja tusubiri mechi ijayo.
 
Mbali gani hiyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kichwaa cha mwendawazimu
 
Kitakachotusaidia ni kwamba wenzetu ligi zao zilisimamishwa kutokana na COVID -19 wakawa wanajiandaa bila kucheza mechi za ushindani.

Na hii ndio moja ya sababu iliyoisaidia Simba na Namungo kutoboa kwenye michezo ya CAF
Kwa hiyo unamaanisha hapo Wenzetu wametoka karantini ya covid matokeo yakawa hivyo?.
 
We kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwango
 
Shida yetu Stars ni washambuliaji wa mwisho.. tukawapata Bocco na Samatta wasipokuwepo tunarudi kulekule..
 
We kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwango
We hujamwona Nchimbi kule mbele ,akikimbia ta..ko zito halina akili linakimbia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…