Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi mashabiki wa zambia tuakoment wapi...
Boko yupo majeruhi.Ujinga grade wanu hivi foward gani zinakosa magoli ya wazi mwanzo mwisho Boko ,shabalala wapo nje halafu unaweka watu wa hovyo tu ndiyo maana wengine walishazira kutazama game za stars ni upumbafu mno.
Nchimbi anakosa magoli anacheka tu wala hajali.
Asist zote za kapombe hakuna aliyecheza juu vichwa pale wapo tu.
Ujinga siasa michezoni.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejaribu kuangalia mechi ya wenyeji cameroon na Zimbabwe nikaamua kujipa moyo kwamba Tanzania tunaweza kufika hata nusu fainal au hata kuchukua ubingwa kabisa kwa maana timu zimecheza mpira wa kiwango ambacho sisi tumepita muda mrefu katika mpira huo. Tuzidi kuwapa imani vijana wetu wa taifa stars wakikaza wanatutoa kimaso maso. Kwa mpira wa wachezaji wa ndani tunafika mbali sana
Save my post#
Chan inakuja Tanzania.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha hapo Wenzetu wametoka karantini ya covid matokeo yakawa hivyo?.Kitakachotusaidia ni kwamba wenzetu ligi zao zilisimamishwa kutokana na COVID -19 wakawa wanajiandaa bila kucheza mechi za ushindani.
Na hii ndio moja ya sababu iliyoisaidia Simba na Namungo kutoboa kwenye michezo ya CAF
We kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwangoUjinga grade wanu hivi foward gani zinakosa magoli ya wazi mwanzo mwisho Boko ,shabalala wapo nje halafu unaweka watu wa hovyo tu ndiyo maana wengine walishazira kutazama game za stars ni upumbafu mno.
Nchimbi anakosa magoli anacheka tu wala hajali.
Asist zote za kapombe hakuna aliyecheza juu vichwa pale wapo tu.
Ujinga siasa michezoni.
We hujamwona Nchimbi kule mbele ,akikimbia ta..ko zito halina akili linakimbia tuWe kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwango
Sawa mkuu, najua hizo ni stress za kuwafunga...Chini ya pumbur mkuu.