Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

Siku tutapotambua kwamba Simba na Yanga ndo zinaiua stars ndipo tutapojua cha kufanya..
 
Siku tutapotambua kwamba Simba na Yanga ndo zinaiua stars ndipo tutapojua cha kufanya..
Hiki kisingizio cha ovyo mkuu,
Tuambie kwa mechi ya Jana mlivyomdsnhsnya kocha akafuata maneno yenu nini kimewapata?
 
Nakupinga kwa 100% mkuu
Huwezi kuwaacha wachezaji wa simba yanga na azam ukachukua kina mapogolo/manyama then utegemee kupata matokeo
Tatizo letu wa tz tunatumia siasa kwenye kila kitu.
Sikulazimishi unielewe leo..
 
Ni kwel kabisa mkuu. Kuna wachezaj pale simba na yanga hungeweza kuwaacha kabisa. Lakin kwa vile mkulu alishasema hataki kusikia stars ikiwa simba na yanga basi kocha alibabaika akaends kuokoteza wengine ambao hawana kiwango. Mbona kuna timu ambazo nusu ya wachezaji wanatoka timi mmoja..mfano RDC wengi wanatoka TP..icheki Guinea wwngi wanatoka clsb moja inaitwa horoya pia hata zambia wengi ni clab mbili tu Nkana na power dynamo...bongo tuondoe siasa kwenye mpira. Hapa mkuu alituchomesha vibaya sana na lawama zote kwake. Alikosea sana kuingiza siasa kwenye mpira
Tatizo wanataka shortcut, sawa unazikataa simba na yanga lakini je una mbadala? Mbadala wa simba na yanga ni hizo timu zingine kufanya vizuri zaidi kuliko simba na yanga na daima timu zinazofanya vizuri ndio zinazotoa wachezaji wa timu ya taifa kwa asilimia kubwa.
 
Watu wanasahau Kikosi cha Spain kilikuwa na Wachezaji 7 wanaoanza kikosi cha kwanza wa Barcelona! Sasa kama na wao wangesema hawataki ubarca na umadrid wangechukua watu wa eibar na celtavigo hivi wangechukua World cup?
 
Spain wanachukua Makombe kuanzia 2008 wachezaji wengi walikuwa barca na real Madrid,Ujerumani hivyo hivyo Bayern Munich.Italy ilitawaliwa sana na Milan,Juve kipindi kile,Uingereza ya kina Gerrard,Lampard,Scholes kina Michael Owen ilijaza wachezaji wa timu kubwa.
Hakuna njia unaweza fanikiwa kwenye timu ya taifa kwa kuchukua wachezaji wengi kutoka katika timu za kawaida,Timu inashika nafasi ya 10 huko wachezaji watatu hadi wanne wanaanza kwa kikosi cha kwanza Taifa.Shida tunakwepa Simba na Yanga eti mheshimiwa kasema,ni upuuzi tu...
 
Hakuna njia ya mkato kwenye soka.. siasa ya ccm imedhamiria kuvuruga hadi soka
 
Spain wanachukua Makombe kuanzia 2008 wachezaji wengi walikuwa barca na real Madrid,Ujerumani hivyo hivyo Bayern Munich.Italy ilitawaliwa sana na Milan,Juve kipindi kile,Uingereza ya kina Gerrard,Lampard,Scholes kina Michael Owen ilijaza wachezaji wa timu kubwa.
Hakuna njia unaweza fanikiwa kwenye timu ya taifa kwa kuchukua wachezaji wengi kutoka katika timu za kawaida,Timu inashika nafasi ya 10 huko wachezaji watatu hadi wanne wanaanza kwa kikosi cha kwanza Taifa.Shida tunakwepa Simba na Yanga eti mheshimiwa kasema,ni upuuzi tu...
CV ya Magu ni Doctor wa madaraja, huku kwenye soka asiguse kabisa
 
Back
Top Bottom