Mashindano ya Division ZERO 2023

Ndio maana ule uamuzi wa kuzuia kutangaza ma TO nimeupenda sana, haileti mantiki kushindanisha shule na wanafunzi kwa mazingira haya, kwa scenario hii umeandika hapa automatically shule kama hii lazima ishike tu mkia au nafasi za chinj sana miaka yote au kutokuja kutoa TO milele na milele.

Sasa madogo hao 400+ wanaingia mtaani, waanze kujitafuta na hii life ya kibongo, kazi ipo si mchezo
 
Zama hizi WASTAARABU, wanaficha mpaka majina. Enzi zetu ilikua unaenda kuangalia matokeo shuleni ukiwa umekula MZINGA unakuta wadau wameshazungushia DUARA kwenye jina lako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzigo ulikua unachiwa kwny gazeti ***** mtaa mzima wanajua umezunguka.....!

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Aisee ni changamoto life lenyewe gumu.
 
Laiti wangetoa matokeo na majina tungeduwaa Kwa hujuma ambazo watoto wetu wanafanyiwa
 
Ni wakati Sasa Zanzibar kuwa na Baraza Kamili la Mitihani. Dhuluma hii haivumiliki.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1544][emoji23] mzee umekuja hadi huku?? we unadhani watoto wote wakipata Div. nani atakubali kuwa Kadhi au mwalimu wa madressa?
 
Iundwe tume wajumbe 250 (125 bara, 125 visiwani) ichunguze hizi hujuma

Mimi niwepo kwenye hiyo tume. mchango wangu ni kwamba Zanziberi iwe na Ilmu ya deen au ilmu akhera na ilmu dunia

mambo yasiwe mengi wapemba vichwa ni vidogo weye wamjazia masomo 10 yakazi ganiiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…