Mashindano ya Division ZERO 2023

Hakuna walimu wanaonda chuo division 0.
 
Hapa kosa kubwa sio serikali ata wazazi hawana mda na watoto wao kabisa mbona shule za vijijini wana jitahidi sana kuliko dar ambapo kuna nyenzo mbali mbali kama tuitions n.k tatizo ni wazazi
Malovee town hapo,Kufuatilia series,Hawajui ugumu wa maisha.Pia hawana malengo kila kitu wanapata.
 
Nashauri serikali iwe na utaratibu wa kuwabadilisha vituo walimu wa shule zilizofelisha kwenda kwenye shule zilizofaulisha vivyo hvyo kwa walimu wa shule zilizofaulisha ilikubadilishana mbinu.
Haitasaidia hata wakaenda wa chuo kikuu
 
Hiyo number 5 kuwa specific kwa kututajia chama
 
Hapo kwenye Umoja wa Vijana malizia wa CCM.Watavalishwa na migwanda yao ile.Wanapanda cheo na kuwa mijichawa.
 
Hakuna walimu wanaonda chuo division 0.
Huyu jamaa sijui anawachukuliaje walimu aisee.....inawezekana hata yeye alipata zero maana haelewi kama ukipata zero huna cheti....walimu na polisi wote hakuna aliyepata zero Tena kwa walimu hata ukipata dv 4 huendi ualimu.
 
Naona serikali imemwaga intake nyingine ya wanaojiuza mitaani na kazi zunazoendana na hiyo. So sad!!
 
nimecheka mpaka nimepaliwa any way this is FACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…