Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

usilaumu watoto laumu serikali.watoto wengi walimu wachache.huvi unajua mtiti wakufundisha na kufatilia wanafunzi hata 150 tuu? halafu unakuja kukutana na watoto 500 na kuendelea hapo lazima mbinu zikuishie.unasematu liwalo naliwe.shule zahela wanafunzi wachache nirahisi kuwafatilia kila mmoja.
 
Waziri wa Elimu/TAMISEMI utasikia tunaunda tume sijui nini, halafu litapita kimya kimya tena,.
 
Sasa wanafunzi sahvi huko shuleni kutwa kudiscus mambo ya bongo fleva na wasanii wao,huku wakiwaduatilia wakina mwijaku babalevo jumalokole,kutwa kukatika mauno tu shuleni wakishindana kucheza singeli,mpaka hapo kuna kufaulu...
Mfano hawa kwenye video hii watapiga 1,2,3 kweli

Ova
 
Back
Top Bottom