mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Tatizo ni wazazi kutowajibika
Hebu elezea kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni wazazi kutowajibika
Mkubwa mwenzio huyo anakutoa KO kitandani huyo.Mtoto mmoja wa kike jirani yangu amemaliza hapo kurasini secondary school sikuhizi ananisalima "mambo vipi uncle" huyu ni mjukuu wangu kabisaa lkn anasalimia mambooo!!!
Hatari sanaMkubwa mwenzio huyo anakutoa KO kitandani huyo.
Nenda pale karibu na bank ya nmb kuna mahali utapata.Kitimoto Safi naweza kupata wapi mitaa ya Mbezi Mwisho?
Asante mkuu.Nenda pale karibu na bank ya nmb kuna mahali utapata.
Unakuta anatembea na mbaba kuliko ww ndio maana anakuona saizi yakeMtoto mmoja wa kike jirani yangu amemaliza hapo kurasini secondary school sikuhizi ananisalima "mambo vipi uncle" huyu ni mjukuu wangu kabisaa lkn anasalimia mambooo!!!