Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

Taifa Secondary School ipo wapi? Mwenye exactly location tafadhali
 
Kwetu Pazuri - Taifa Sekondari
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474 + 533 Division 4 (ambayo ni division ZERO iliyochangamka) = YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata F F F F mpaka Civics, Kiswahili?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
6. Baa
Mwendo wameumaliza 🤣🤣🤣🤣🤓🤓🤓
 
Toa ualimu kwenye ujinga wako ,,nilipiga 1.15 O level nikapiga two Adv pnt 12 PCB and ama a teacher
We ulisomea nn chuo kwani si ualimu au acha zako hiyo sio fani ya kujivunia mkuuu utachekwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena ukute unafundisha o level unatutambia hapa tu
 
Miuno minginyuminginyu kama mfale Zumaridi...

Majaji wanaopiga watu mvua miaka 30 kwa kutembea na under 18, waone hii...
 
Back
Top Bottom