Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Kwani hawaruhusu kuchukua videos afu mtuwekee hapa hayo mapambano Wakuu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sijui watu walioko huko.

Mi mwenyewe nimeomba nitumiwe video ila imekuwa ngumu.

Nahisi kwasababu ya game kuchukua muda mwingi.

Unakuta wanacheza mechi nyingi zinatoka sare tu, sasa hapo unaweza ukajaza storage ya simu
 
Ku record mechi nzima mpaka iishe ni kazi kutoka na watu kuwa wengi pia draft linachukua mda mrefu mfano Noel na Nduli wametumia masaa 3 Toka saa 10 mpaka saa 1 ndo mechi imeisha
 
Ku record mechi nzima mpaka iishe ni kazi kutoka na watu kuwa wengi pia draft linachukua mda mrefu mfano Noel na Nduli wametumia masaa 3 Toka saa 10 mpaka saa 1 ndo mechi imeisha
Nduli analala sana. Mpaka wamuhesabie zile kumi. Sekunde zake anatumia zote.
 
Watu wanadai Sisco alihujumiwa

Kuna time aliweka kete ngumu Ronaldo akalala kupitiliza muda uliopangwa.

Kamisaa alitakiwa kusimamisha pambano na kumpa ushindi Sisco lakini haikuwa hivyo.

Kama ni kweli basi kwa namna moja Sisco hajatendewa haki japo mi namkubali Ronaldo
Your browser is not able to display this video.
 
Team Ronaldo tupo hapa ...Jini lazima abebe hiyo
 
Mshindi anapewa zawadi gani?

Vigezo vya kushiriki ni vipi?

Wanacheza michezo mingapi mingapi?
 
Hawa watu mna wajulia wapi?
Dogo Shuku yupo Manyanya pale ukifika mida ya night utamuona anacheza pool

Ila hapa kuna mafundi wanne waliofika nusu

Kutoka mkono wa kushoto huyo aliyevaa koti la njano ni Sisco, anafuatia Nduli anakuja Noel wa mwisho ni Ronaldo

Ronaldo anatarajiwa kukutana na Noel kesho kwenye fainali baada ya kumtoa Sisco

Mshindi anapewa zawadi gani? Vigezo vya kushiriki ni vipi?
Gharama ya usafiri kwa watu wanaoishi mbali na hiyo sehemu panapofanyika mashindano ni ya nani?
 
Mshindi anapewa zawadi gani? Vigezo vya kushiriki ni vipi?
Gharama ya usafiri kwa watu wanaoishi mbali na hiyo sehemu panapofanyika mashindano ni ya nani?
Gharama za usafiri, malazi, chakula zote zinakuwa ni juu ya host ambaye ni Steve

Mshindi wa kwanza anachukua 2M wapili 1M na watatu anachukua 500K
 
Gharama za usafiri, malazi, chakula zote zinakuwa ni juu ya host ambaye ni Steve

Mshindi wa kwanza anachukua 2M wapili 1M na watatu anachukua 500K
Vigezo vya kushiriki ni vipi? Wachezaji wanatoa kiasi gani kama kiingilio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…