Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Draw ya kesho
IMG-20230830-WA0021.jpg
 
Haya mashindano niliambiwa yatafanyika lakini nikajua ananitania.

Host wa haya mashindano ni jamaa mmoja hivi Big nilicheza naye pale manyanya nikamfunha goli za kutosha.
Hii kamba kaka, wewe uwezo wako ni mdogo
 
Hii kamba kaka, wewe uwezo wako ni mdogo
Sio utani ni serious

Huyo big ye madraft kwake ni kama passion tu hana uwezo mkubwa kihivyo japo kwa kiwango chako humuwezi.

Kuna rafiki yangu wa Chunya yupo naye karibu huyo Big so walipokuja Dar kufanya promosheni aliniita.

Katika stori ikabidi za hapa na pale ikabidi liletwe draft tukumnushie makali yetu.

Ndio hapa nikampasua mabao ya kutosha afu siku ya pili akaniita tucheze mi sikutokea kwasababu ilikuwa ni Simba Day
 
Ronaldo kafunga bao la 2

Sisco 1-2 Ronaldo
 
Back
Top Bottom