Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
Waombe upige hata picha hilo draft vipi mashabiki nao huruhusiwi kuwapiga pichaHiyo ndo ilimuua Ronaldo jana dhidi ya Noel.
Michezo 6 imeisha.
Kuanzishiana goli la dhahabu inaanza, kufikiria sekunde 10
Shukran kwa uwasilishaji uliotukuka!Nduli Ndulima wins Java Cup.
3 goals to 2.
He is the new Champion...!
Shukran kwa uwasilishaji uliotukuka!
Shukrani sana Kaka kwa kutupatia matokeo.Shukran kwa uwasilishaji uliotukuka!
Nduli Ndulima wins Java Cup.
3 goals to 2.
He is the new Champion...!
Ila hawa jamaa pamoja na kuwa mzee Mangwezi hachezi, ila respect iko kubwa sana kwake, ukipata story zake hawa wote ni wanafunzi kwake
noel yupo juuKuna namna ambavyo Mangwezi ametengeneza brand yake kiasi kwamba anapewa respect kubwa.
Mangwezi na Noel mpaka sasa haijulikani nani bingwa kwa mwenzake.
Wadau wenyewe wanakwambia kimashindano Noel anaweza kuwa juu.
noel yupo juu
namjuaUmejueje?
Kwenye haya mashindano kuna mkali m1 anaitwa Godziller ni mkali pia wa vipande alikosekana. Jamaa anajua aisee.
Jamaa hakushiriki.
Kwenye mashindano hayo kiburudisho zaidi alikua Kwata Mwivi, mechi zake zilikuwa zinavuta watu kwa sababu ya story zake.
Huyo la kawaida hajui sana..alifungwa na sued akaliwa hela Kama mtoto..namjua sana uyo..Yuko ifakara..jina lingine anaitwa kikonoKwenye haya mashindano kuna mkali m1 anaitwa Godziller ni mkali pia wa vipande alikosekana. Jamaa anajua aisee.
Unamjua huyo godzilla..?huyo ni mkali wa vipande tuJamaa hakushiriki.
Kwenye mashindano hayo kiburudisho zaidi alikua Kwata Mwivi, mechi zake zilikuwa zinavuta watu kwa sababu ya story zake.
Kuna mashindano yamepangwa kuchezwa tar 9 Mwezi huu.
Mshindi anachukua 750,000/-, wa pili 250,000/- wa tatu 150,000/-.
Venue ni Dar-es-Salaam, Kinondoni Manyanya (Draft College).