Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Hiyo ndo ilimuua Ronaldo jana dhidi ya Noel.

Michezo 6 imeisha.

Kuanzishiana goli la dhahabu inaanza, kufikiria sekunde 10
Waombe upige hata picha hilo draft vipi mashabiki nao huruhusiwi kuwapiga picha
 
Ila hawa jamaa pamoja na kuwa mzee Mangwezi hachezi, ila respect iko kubwa sana kwake, ukipata story zake hawa wote ni wanafunzi kwake
 
Ila hawa jamaa pamoja na kuwa mzee Mangwezi hachezi, ila respect iko kubwa sana kwake, ukipata story zake hawa wote ni wanafunzi kwake

Kuna namna ambavyo Mangwezi ametengeneza brand yake kiasi kwamba anapewa respect kubwa.

Mangwezi na Noel mpaka sasa haijulikani nani bingwa kwa mwenzake.

Wadau wenyewe wanakwambia kimashindano Noel anaweza kuwa juu.
 
Kwenye haya mashindano kuna mkali m1 anaitwa Godziller ni mkali pia wa vipande alikosekana. Jamaa anajua aisee.
 
Kwenye haya mashindano kuna mkali m1 anaitwa Godziller ni mkali pia wa vipande alikosekana. Jamaa anajua aisee.
Huyo la kawaida hajui sana..alifungwa na sued akaliwa hela Kama mtoto..namjua sana uyo..Yuko ifakara..jina lingine anaitwa kikono
 
Kuna mashindano yamepangwa kuchezwa tar 9 Mwezi huu.

Mshindi anachukua 750,000/-, wa pili 250,000/- wa tatu 150,000/-.

Venue ni Dar-es-Salaam, Kinondoni Manyanya (Draft College).

Itabid ntoke huku zenj kwa muda ili nije nishuhudie huo mtanange. Maana draft ndio ugonjwa wangu…hahah
 
Back
Top Bottom