Itabid ntoke huku zenj kwa muda ili nije nishuhudie huo mtanange. Maana draft ndio ugonjwa wangu…hahah
Kwenye haya mashindano kuna mkali m1 anaitwa Godziller ni mkali pia wa vipande alikosekana. Jamaa anajua aisee.
Aisee kesho kuna game kweli?
Yassin katoboa safari hii dogo ana kua sana kwenye mabao..Game zimechezwa juzi na jana.
Nusu fainali na fainali zitacheza Jumapili.
Walioingia nusu ni Dogo Sisqo, Amani Siri, Nduli na Dogo Yasini.
Hatua ya nane bora matokeo;-
Dogo Sisqo alimfunga Ali White 2 - 0, Nduli alimfunga Dogo Athumani 2 - 1, Dogo Yasini alimfunga Omary Kiwembe 2 - 1 na Amani Siri alimfunga dogo Shukuru 2 - 1.
Ronaldo na Noel hawakushiriki.
Issa Meno ya Mamba alishiriki ila hakuvuka kwenye makundi.
Yassin katoboa safari hii dogo ana kua sana kwenye mabao..
Mida mida mkuu itakua sa ngapi ...Tunasubiri kuona itakuwaje hiyo kesho, maana kila mmoja anamtamani Yassin.
Yassin alishinda jana, alicheza na Nduli fainali
Dogo kakua sasa,Yassin alishinda jana, alicheza na Nduli fainali
Dogo kakua sasa,
Hii itakua jioni tu hii ngoja tusogee hapoRonaldo CR7 aka De Lima, aka Scientist, aka Field Marshal karudi tena dimbani.
Juzi alikuwa na game na Dogo Sisqo, dau 300,000 (winner takes it all), Dogo Sisqo alishinda goli 5 kwa 1.
Jana CR7 alikiwasha na Shabani Katoto (Ngapu), CR7 alishinda 3 kwa 1.
Jumatano tar 5 January 2022 ni zamu ya CR7 vs Nduli Ndulima aka Mkata Shombo.
Venue ni Manyanya
Hii itakua jioni tu hii ngoja tusogee hapo
Ronaldo mbona anafungwafungwa sana siku hizi?, watu hawaangalii jina.Ronaldo CR7 aka De Lima, aka Scientist, aka Field Marshal karudi tena dimbani.
Juzi alikuwa na game na Dogo Sisqo, dau 300,000 (winner takes it all), Dogo Sisqo alishinda goli 5 kwa 1.
Jana CR7 alikiwasha na Shabani Katoto (Ngapu), CR7 alishinda 3 kwa 1.
Jumatano tar 5 January 2022 ni zamu ya CR7 vs Nduli Ndulima aka Mkata Shombo.
Venue ni Manyanya.
Ronaldo mbona anafungwafungwa sana siku hizi?, watu hawaangalii jina.
Hapa Dodoma, Wanasema kwamba wachezaji wakubwa wanapatikana vijiwe vya Chabela Camp na barabarani soko la Majengo kituo cha bodaboda, nimehudhuria vijiwe hivyo mara kadhaa nione uchezaji wao lakini nimeambulia patupu, sijamwona hata mchezaji mmoja.
Halafu nasikia mitaa ya bungeni karibu na Hotel 56, kwenye ghorofa jekundu lililokuwa halitumiki, kuna kijiwe cha drafti cha mabingwa wa ngazi ya wilaya, nitakwenda kujihakikishia kwa macho yangu kama kweli kipo.
Tupe direction kamili tuje leoRonaldo CR7 aka De Lima, aka Scientist, aka Field Marshal karudi tena dimbani.
Juzi alikuwa na game na Dogo Sisqo, dau 300,000 (winner takes it all), Dogo Sisqo alishinda goli 5 kwa 1.
Jana CR7 alikiwasha na Shabani Katoto (Ngapu), CR7 alishinda 3 kwa 1.
Jumatano tar 5 January 2022 ni zamu ya CR7 vs Nduli Ndulima aka Mkata Shombo.
Venue ni Manyanya.
Dom kuna mabingwa, kuwafuma wakicheza ndiyo ishuRonaldo alipumzika kwa muda, sasa hivi anarudi tena.
Draft ukikaa mwezi tu kurudi lazima ukutane na vipigo kwa wiki za mwanzo mpaka ukae sawa tena.
Dom kuna mabingwa mzee, Simba wa Dom, Kata Mwivi, Ronaldo mwenyewe makazi yake ni huko, tafuta vijiwe utawaona.
Dom kuna mabingwa, kuwafuma wakicheza ndiyo ishu
Playok nilimwona Ronaldo akicheza kwa kutumia guest account, jamaa anapiga, aliwapiga jamaa wanaojisifu fastafasta, akacheza na mkulima akapigwa 5-0, huyu mkulima ni hatari.
Mabingwa ngazi ya wilaya na mkoa playok point zao zinaanzia 1450+, ukiweza ku-maintain range ya point hizo, basi wewe ni mchezaji mkubwa. Playok kuna wachezaji wakubwa maarufu sema hawajitaji, waliojitaja wachache tu, Simba wa Dom, Ronaldo na Dogo Hamisi wa Kiwalani.
Tupe direction kamili tuje leo