- Thread starter
- #221
Itabid ntoke huku zenj kwa muda ili nije nishuhudie huo mtanange. Maana draft ndio ugonjwa wangu…hahah
Zanzibar kuna mabingwa wawili huwa wanashiriki mashindano haya, Bingwa wa Nungwi na Monster, sina uhakika kama watakuwepo.
Nitatoa updates za muda na makundi.