Mashindano ya Jumuiya ya Madola: Alphonce Simbu ashinda medali ya fedha kwenye mbio za Marathon

Anaitwa Alphonse Felix Simbu ni mwanaume na mkimbuaji wa mbio ndefu.
No mkuu u totally misunderstood me,mimi nipo kwenye women commonwealth marathon!,na mpaka sasa (6kms to go),dada yetu yupo no 4,na kuna gap ya to close up na leading group lenye wanariadha kutoka namibia, Kenya na Australia
 
Tanzania 🇹🇿 nchi yangu tulipotea wapi kama nchi?,hapa ninaangalia commonwealth netball game kati ya England vs Malawi!,sisi tupo wapi?kumbuka mechi ya Jeshi stars vs Bora team, Dar ilikua inasimama ila leo we just turn to be lost totally
 
Tanzania Tv gani ilikuwa inaonyesha live mashindano hayo maana Tv zote za Kenya kama kuna mkimbiaji yoyote anaiwakilisha nchi yao zinakatisha matangazo na kuonyesha live ili wananchi washuhudie? Au tv zetu kucha kutwa ni havari za kufungiwa manara na uzinduzi wa jezi mpya?
 
Una point kubwa sana sana na ni aibu kwa nchi, muda huu Tanza-nia na Somali wako kiwanjani, hakuna TV yoyote ya SERIKALI inayorusha ukiacha Azam
 
Tanzania Tv gani ilikuwa inaonyesha live mashindano hayo maana Tv zote za Kenya kama kuna mkimbiaji yoyote anaiwakilisha nchi yao zinakatisha matangazo na kuonyesha live ili wananchi washuhudie? Au tv zetu kucha kutwa ni havari za kufungiwa manara na uzinduzi wa jezi mpya?
Haki za Matangazo
 
Back
Top Bottom