Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hao wanatafuta political capital hawana lolote, uislamu hauko hivo wanafuturisha masikini uko vijijini na mjini kwa sehemu za masikini.Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha.
Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe?
Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe
Wangekuwa na nia hiyo nzuri, wangekuwa wanapishana kwenye kambi za watoto yatima. Wangekuwa wanatatua changamoto za watoto wanaosoma madrasa kwenye mazingira magumu bila vitabu vya dini na nyezo zingine.Na mm nashangaa mtu anafuturisha watu wenye uwezo wa kula milo 6 kwasiku ni maajabu
Muongozo inajulikana kua wanapaswa kufuturishwa ni wenye uhitaji masikin mafukara mayatimaKila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha.
Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe?
Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe?
Mbaya zaidi hata watu wanaowafuturisha sio kwa nia njema, bali kuwatumia kama ngazi ya kisiasa. Na nyingi mwajua yote hayo.