Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Ndugu huyo kasikio mbona hajulikani?

Kwenye Online kule Kuna MKULIMA na hapo Manyanya anajulikana na wote

Morogoro Kuna bingwa anaitwa Aradini anafahamika

Huyo kasikio anacheza chumban peke yake?
Aradini namjua mkali sana
 
Nimeona mnamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnaita French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nahitaji kukutanishwa naye online.
 
Ajabu hiyo wanaita French huku Tz. Ndiyo wanayocheza waingereza(British). Sisi aina yetu ni ya kipekee sana.
Actually hizo ni Russian rules sijajua nani alianzisha kuita hizo sheria zake French rules!!!!!!!!!!
 
Nimeona mnamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnaita French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nahitaji kukutanishwa naye online.
Officially huitwa Russian checkers (shashki). Hiyo kuita French sijui Wabongo wametoa wapi.
 
mleta mada hakumalizia kuleta updates za mashindano ya drafti kitaifa mwaka 2022.

anayejua washindi kitaifa (wa 1,2 na 3) mwaka 2022 atuwekee hapa. itapendeza akiweka na rekodi ya washindi kitaifa (wa 1,2 na 3) mwaka 2019.

hamis77, Scars
 
ZILIZOPO (ZIMEMISS ZA MWAKA 2019 na 2022)

STATISTICS ZA KOMBE LA TAIFA DRAFTI (LA KWANZA HADI SASA)

1: (2018) LA KWANZA
Mshindi: HEMEDI GAIDI
Mshindi wa 2: RONALDO
Mshindi wa 3: SIMBA DOM

2: 2019 (NANE KISANGA) HILI SIYO KOMBE LA KITAIFA
Mshindi: DOGO SISCO
Mshindi wa 2: SIMBA DOM
Mshindi wa 3: Noel

3: 2020
Mshindi: NOEL
Mshindi wa 2: RINALDO
Mshindi wa 3: ISSA MAMBA

4: 2021
Mshindi: NDULI
Mshindi wa 2: NOEL
Mshindi wa 3: ISSA MAMBA

5: 2022
Mshindi:
Mshindi wa 2:
Mshindi wa 3:

6: 2023 (LA SASA)
Mshindi: NOEL
Mshindi wa 2: RONALDO
Mshindi wa 3: DOGO SISCO

7: 2024 (LOADING................)
Mshindi :

Ya mwaka huu yashapangwa au bado?
 
Back
Top Bottom