Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

EXCLUSIVE



Timu
: Cr7 Mnyama Vs Fundi Saiya ( Confirmed )




Mdhamini : Dany Denyo ( Tajiri Huyu )




Zawadi: 100,000/= ( Winner 80k na looser 20k )




Lini: Jumatatu tareh 11 July 2022 saa kumi jioni




Uwanja: Kitunda Stadium




Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu



Mratibu: Kaiza




Photograper: Kaiza ( 5000 )




Kamisaa: Riro (5000)




Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 20 kwa atakaefungwa na kama ngoma 24 zitaisha sare basi hawa jamaa watapewa elf 25 kila mmoja kama kifuta jasho


Cr7 anapasha misuli na lengo lake apate gemu fitiness Njoo umuone Cr7 live bila chenga ndani ya kitunda Stadium
Kitunda stadium ndio wapi leo nisogee?
 
leo , saa moja kamili jioni . ntakuwa nimeshafungua table nakusubilia
jina : nyegere
- Tafadhari confirm kama utatokea muda huo tajwa.
 
Hahahahh bwana nyegere nilikuona kule
leo , saa moja kamili jioni . ntakuwa nimeshafungua table nakusubilia
jina : nyegere
- Tafadhari confirm kama utatokea muda huo tajwa.
Nitafuatilia mpambano wenu
 
Hivi hiyo playok kuna app yake? au ni mpaka kuingilia kwenye browser

Nimeitafuta playstore nimeikosa
 
Nahitaji mchezaji mmoja niko kule kwenye draft la online..

Natumia nizzle
 
Bingwa alikuwa Sisco
huyo bingwa wa nchi juzi kapigwa 2-0 kama macho yake na MKULIMA, bingwa wa drafti la online.

huyo mkulima habari nzake ni nzito, hafai hata kidogo. weka mbali na vitoto kama vikina Sisco, Ronaldo, Noel na Nduli
 
Back
Top Bottom