Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Aradini namjua mkali sanaNdugu huyo kasikio mbona hajulikani?
Kwenye Online kule Kuna MKULIMA na hapo Manyanya anajulikana na wote
Morogoro Kuna bingwa anaitwa Aradini anafahamika
Huyo kasikio anacheza chumban peke yake?
Actually hizo ni Russian rules sijajua nani alianzisha kuita hizo sheria zake French rules!!!!!!!!!!Ajabu hiyo wanaita French huku Tz. Ndiyo wanayocheza waingereza(British). Sisi aina yetu ni ya kipekee sana.
Officially huitwa Russian checkers (shashki). Hiyo kuita French sijui Wabongo wametoa wapi.Nimeona mnamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnaita French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nahitaji kukutanishwa naye online.
Ya mwaka huu yashapangwa au bado?ZILIZOPO (ZIMEMISS ZA MWAKA 2019 na 2022)
STATISTICS ZA KOMBE LA TAIFA DRAFTI (LA KWANZA HADI SASA)
1: (2018) LA KWANZA
Mshindi: HEMEDI GAIDI
Mshindi wa 2: RONALDO
Mshindi wa 3: SIMBA DOM
2: 2019 (NANE KISANGA) HILI SIYO KOMBE LA KITAIFA
Mshindi: DOGO SISCO
Mshindi wa 2: SIMBA DOM
Mshindi wa 3: Noel
3: 2020
Mshindi: NOEL
Mshindi wa 2: RINALDO
Mshindi wa 3: ISSA MAMBA
4: 2021
Mshindi: NDULI
Mshindi wa 2: NOEL
Mshindi wa 3: ISSA MAMBA
5: 2022
Mshindi:
Mshindi wa 2:
Mshindi wa 3:
6: 2023 (LA SASA)
Mshindi: NOEL
Mshindi wa 2: RONALDO
Mshindi wa 3: DOGO SISCO
7: 2024 (LOADING................)
Mshindi :
Mshindi wa 2:
Mshindi wa 3:
2024 bado, nafikiri itakuwa mwezi wa 8 kama kawaida.Ya mwaka huu yashapangwa au bado?