Mashindano ya mchezo wa draft

Mashindano ya mchezo wa draft

Pres61

New Member
Joined
Feb 10, 2024
Posts
3
Reaction score
5
Nawaza kuanzisha mashindano ya mchezo wa draft kitaifa. Ni mchezo ambao vijiwe vingi upo na kila kijiwe kina mbabe wake. Na ni mchezo unapendwa na wengi. Swala ni kuandaa proposal nzuri ili ipate na wadhamini pia
 
Litakuwa jambo jema mkuu.... utakuwa umepanua wigo wa michezo na ajira nchini... kila lakheri... pia tutakuwa tayari kuchangia mawazo ya msingi kwa ajili ya kufanikisha lengo hili.
 
Nimeona taarifa ya habari Azam leo kuwa michuano ya draft Afrika mashariki mwaka huu itafanyia Nairobi
 
Back
Top Bottom