ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
kumbe ni avatar...nilijua sura halisi...mngenipa zawadi yangu
Passion Lady umeona eehhh hapo ladyfurahia anatafuta ugomvi sasa
halafu hapo kwa Mtambuzi hivi ladyfurahia unamjua mzee Mtambuzi wewe
Mimi nisipowekwa nazira kabisa kuingia humu CC. Mmezoea upendeleo sana! Nasema niatandamana nchi nzima. :target::target:
jamani si nimeomba radhi pale juu
halafu hiili shindano kuna watu walikuwa wanalitaka
sana humu mjengoni hivyo nami bila ajizi nikaliweka
kwani waliona lile shindano la MSANII BORA WA CC-2013
lililovyokuwa zuri ndipo wakamaind nao wawekewe
nina makosa gani kaka yangu jamani,
tu
Kwa hiyo unataka tumwondoe nani tukuweke wewe bestito?
hahahaaaa!!cousin mbona
lawama hizi,afu hao wa mwanzo
mbona umeweka mahandsome boy wote!!
ngoja washiriki waje!!
Ila sasa ladyfurahia kufananisha sura ya The Boss na @knoob au Safari_ni_Safari ni balaa hapo hata hawaendani na pale wale wa kwanza mbona umeweka sura zinazoendana huoni utawapa shida wachangiaji kukosa mshindi
Andika jina langu kwa wenye sura mbaya fasta.
Andika jina langu kwa wenye sura mbaya fasta.
Mimi nisipowekwa kwa wenye sura mbaya nazira kabisa kuingia humu CC. Mmezoea upendeleo sana! Nasema niatandamana nchi nzima. :target::target:
Duh....kumbe mimi nina muonekano wa ajabu....!! Kweli dunia haiishi maajabu.