ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #41
hahahaha jamani kumbe ulikuwa unajua kuwa kiswahili
ni lugha ngumu kupita zote Africa.
umejionea mwenyewe mambo niliyoyandaa hapo ni babkubwa
watakupigia kura tu waambie marafiki zako hapa mjengoni
ni lugha ngumu kupita zote Africa.
umejionea mwenyewe mambo niliyoyandaa hapo ni babkubwa
watakupigia kura tu waambie marafiki zako hapa mjengoni
Ulitaka niseme "loli ghwe mwana ughwe"...
Kiswahili kinawashinda wengi kukitumia mnatafsiri moja kwa moja lol...
Sikulifikiria shindano la namna hii ndio maana nikaishiwa maneno!!