tena kwa ulivyokuwa na wapambe wengi utashinda kabisaaaaaa....Mimi nisipowekwa kwa wenye sura mbaya nazira kabisa kuingia humu CC. Mmezoea upendeleo sana! Nasema niatandamana nchi nzima. :target::target:
chezeya alshabab weye........Jimama Mamndenyi naona umekuwa muoga kweli wa Wasomali
handsome mchafu?ila kama mimi sina sura mbaya, ila mimi ni handsome mchafu, siku nikipiga pamba zangu kama ile suti mkulu alohongwa na waarabu duh, lazima vibinti mtaniita kaka badala ya babu,
Watu wanapenda kutunukiwa mataji hata kama ni ya kudhalilishwa!?
Baada ya hili muandae shindano la mtu anayeongoza kwa kuandika pumbas!
Lily Flower na sweetlady njoni mthibitishe kwamba Mungi naye yupo kwenye mashindano haya.
Jamani nampigia kampeni Slave... mjue hiyo picha alipiga enzi za utoto ambapo angalau alikuwa anatazamika, enzi za black n white still pictures, mkimcheki kwa sasa najua wengine woote mtaenda kulala, ...
Mhm! makubwa tena haya ngoja majaji wanoti hiyo kura yako ila punguza maneno
kwani utamharibia kura mwenzio uliyempigia jaji LiverpoolFC njoo umark
mheshimiwa, nawewe unaruhusiwa kunipigia kura?
Passion Lady umeona eehhh hapo ladyfurahia anatafuta ugomvi sasa
halafu hapo kwa Mtambuzi hivi ladyfurahia unamjua mzee Mtambuzi wewe
Mimi nisipowekwa kwa wenye sura mbaya nazira kabisa kuingia humu CC. Mmezoea upendeleo sana! Nasema niatandamana nchi nzima. :target::target:
teh teh teh,handsome mchafu?
really?
​nini tena themejiii???!!!Afu wewe!!!!!!!!!
nimeona binamu
ila sina budi kufanya kazi yangu
wenye sura mbaya wajitokeze kwa wingi!!