Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Hahahah wachina nao wana michezo yao… kama ile acrobatic ya kwenye maji(ke) wameshinda wachina, wakafuatia marekani then Spain
Yeah, bado tunawasubiri kwenye diving

Race ya gold bado ipo open
 
India wako kwenye kUrusha mkuki utawaona tu kaka wala usijali
 
Reactions: Lax
Fred Omanyala Nasikia ameshindwa semi finals alichoka sass sijui shida nn final kachukua lyles(usa) dhidi ya mpinzani wake kishane thompson wanjamaica
 
Reactions: Lax
Naona Tebogo 2nd semi finals kamcharaza lyles wengi wanasema lyles ana save energy for the final round ngoja tuone.....
 
Fred Omanyala Nasikia ameshindwa semi finals alichoka sass sijui shida nn final kachukua lyles(usa) dhidi ya mpinzani wake kishane thompson wanjamaica
Laana mkuu hio, ya kumuacha mkewe kwa dharau kubwa na kejeli sababu ni supastaa alivyoanza kua staa na kumchukua mwanamke mwingine
 
Naona Tebogo 2nd semi finals kamcharaza lyles wengi wanasema lyles ana save energy for the final round ngoja tuone.....
Jamaa simpendi, anajiskia sana, hata siku ya medali , mjamaika alikua anamshangaa, liko kama chizi, leo tebogo kamuonesha, kaishia kukaa kimya tu, hakuna cha kusevu energy mkuu, hizo mbio za final sijui ngoja tuone
 
Reactions: Lax
India wana medali 3 za bronze kwenye shooting (kulenga shabaha)
Nadhani kriketi haipo kwenye olimpiki
 
Tanzania cheki kesho kutwa kwenye marathon. Mashindano ya marathon yamekuwa mengi sana hapa nchni labda mwaka huu tunaweza kupata hata medali moja
 
Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza
Hiyo nyepesi jkt ruvu wanafanya kila wikend
 
Hiyo nyepesi jkt ruvu wanafanya kila wikend
Unadhani ni nyepesi kama usemavyo? Unadhani wanaiposition miguu kama tunavyotembea kawaida? Hutakiwi kulifit/ kunyayua mguu

Ina rules zake na nimekuwekea moja wapo hapo
 
Attachments

  • IMG_1784.jpeg
    224.4 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…