Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Hahahah wachina nao wana michezo yao… kama ile acrobatic ya kwenye maji(ke) wameshinda wachina, wakafuatia marekani then Spain
Yeah, bado tunawasubiri kwenye diving

Race ya gold bado ipo open
 
Hivo vipaji viko wapi mkuu? Wanaonekana hata kwenye mashindano ya ndani?

Jana visiwa vya Saint Lucia imeshukua dhahabu women 100m mbio, na hii ndo medali yao ya kwanza kwa historia ya nchi yao. Mwaka huu wanawachezaji 5.

Huyu demu leo saa 5 na robo yupo tena kwenye 200 m
Anasepa kama upepo

Miaka yote ndio hua anaongoza kwenye uogeleaji. Ni dominant kwenye hilo eneo.

Kwa sasa naona anapata upinzani mkali sana toka China, Japan, Australia na nchi za Ulaya.

India nchi ina watu 1.4b lakini hakuna chochote cha maana wanafanya.

South Sudan ina timu bomba sana ya basketball.
India wako kwenye kUrusha mkuki utawaona tu kaka wala usijali
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ndio heat 1 ngoja tuendelee kusubiria zinazokuja..
Kuna stor nimeskia ya jamaa wa kenya alimuacha mkewe wa ndoa tena kwa kejeli baada ya kupata umaarufu kwenye michezo ya dunia iliyopita akpata gold , leo yuko final sprinter mita 100 nadhani, naona wakenya wanasubiria
Fred Omanyala Nasikia ameshindwa semi finals alichoka sass sijui shida nn final kachukua lyles(usa) dhidi ya mpinzani wake kishane thompson wanjamaica
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Naona Tebogo 2nd semi finals kamcharaza lyles wengi wanasema lyles ana save energy for the final round ngoja tuone.....
 
Fred Omanyala Nasikia ameshindwa semi finals alichoka sass sijui shida nn final kachukua lyles(usa) dhidi ya mpinzani wake kishane thompson wanjamaica
Laana mkuu hio, ya kumuacha mkewe kwa dharau kubwa na kejeli sababu ni supastaa alivyoanza kua staa na kumchukua mwanamke mwingine
 
Naona Tebogo 2nd semi finals kamcharaza lyles wengi wanasema lyles ana save energy for the final round ngoja tuone.....
Jamaa simpendi, anajiskia sana, hata siku ya medali , mjamaika alikua anamshangaa, liko kama chizi, leo tebogo kamuonesha, kaishia kukaa kimya tu, hakuna cha kusevu energy mkuu, hizo mbio za final sijui ngoja tuone
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Miaka yote ndio hua anaongoza kwenye uogeleaji. Ni dominant kwenye hilo eneo.

Kwa sasa naona anapata upinzani mkali sana toka China, Japan, Australia na nchi za Ulaya.

India nchi ina watu 1.4b lakini hakuna chochote cha maana wanafanya.

South Sudan ina timu bomba sana ya basketball.
India wana medali 3 za bronze kwenye shooting (kulenga shabaha)
Nadhani kriketi haipo kwenye olimpiki
 
View attachment 3061116
Kila nikitafta olympiki google inaniletea Tanzania medali zero.

Hadi jana China alikua anaongoza kwa gold akiwa nazo 13 akifuatiwa na Australia na France. Marekani alikua na 9. Ghalfa leo Marekani ana 14 na soon atampiga mchina.

Olympic ndio sports season pekee hua napenda kuangalia kwa sababu mimi sio fan wa football. Napenda kuogelea, kukimbia, kutembea, kuendesha baiskeli kulenga shabaha na michezo mingine.
Tanzania cheki kesho kutwa kwenye marathon. Mashindano ya marathon yamekuwa mengi sana hapa nchni labda mwaka huu tunaweza kupata hata medali moja
 
Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza
Hiyo nyepesi jkt ruvu wanafanya kila wikend
 
Hiyo nyepesi jkt ruvu wanafanya kila wikend
Unadhani ni nyepesi kama usemavyo? Unadhani wanaiposition miguu kama tunavyotembea kawaida? Hutakiwi kulifit/ kunyayua mguu

Ina rules zake na nimekuwekea moja wapo hapo
 
Attachments

  • IMG_1784.jpeg
    IMG_1784.jpeg
    224.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom