Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Noma sana, kuna structures pale kwenye ule mto na mnara wa chuma, picha zikichukuliwa kutokea angani unaona kabisa ni kwa namna gani jamaa wametuacha kwenye mambo ya kupangilia miji.

Niliangalia kwa makini ile siku ya mbio ndefu za baiskeli na marathon.
 
Yeah mimi niliiona kwenye mashindano ya farasi. Mji wa Versailles background yake aisee dah! Acha tu.
 
Hivi hawa mabaunsa wetu wanshindwa kwenda kunyanyua vyuma wachukue medals?
Vipi kurusha mkuki,
Vipi mieleka,
Vipi wale ma dancer,
Vipi wale wa Judo,
Vipi wale wa kurusha tufe,
Au kuruka kwa upondo,
Vipi wale wa Volleyball,
Michezo ni mingi sana ya kuchukua medals, tunakwama wapi sisi?
 
Hta kuruka tu kwny michanga jmn
 
Wenzetu wako mbali sanaaaa.. mipangilio ya miji yao, usafi,
 
Olympic tunakamilisha leo, baada ya mwezi ukiona kimya jua ndo basi na tutaulizana tena maswali haya baada ya miaka minne
 
Wanaweza. Wanakosa training tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…