Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Noma sana, kuna structures pale kwenye ule mto na mnara wa chuma, picha zikichukuliwa kutokea angani unaona kabisa ni kwa namna gani jamaa wametuacha kwenye mambo ya kupangilia miji.Kuna economist alisema developing countries zinakua taratibu sana hatutakuja fikia nchi zilizoendelea bali gap itaendelea kuwa kubwa na nilijisikia vibaya sana aliposema hivyo ila kwa kweli ukiangalia miji ya Paris na Versailles yalivyopangwa tangia miaka hio bila shaka unaona kwa ukuaji wetu huu hatutoboi karne hii wala ijayo. Unashindwa kabisa kubisha .
Niliangalia kwa makini ile siku ya mbio ndefu za baiskeli na marathon.