Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Namuangalia hapa kaka, round 1 heat 1 huyu anawaburuza mikimbio yote mpaka anabeba gold hapa
Ndio heat 1 ngoja tuendelee kusubiria zinazokuja..
Kuna stor nimeskia ya jamaa wa kenya alimuacha mkewe wa ndoa tena kwa kejeli baada ya kupata umaarufu kwenye michezo ya dunia iliyopita akpata gold , leo yuko final sprinter mita 100 nadhani, naona wakenya wanasubiria
 
Wazo safi, hela sasa madawati tu shida
Pesa zipo Mkuu, shida ni vipaumbele tu, hizo pesa za kununua magoli ya Simba na Yanga huwa zinatokaga wapi? Vp za kuwapeleka Wasanii Nje ya Nchi, hili suala halihitaji hata msaada wa Wahisani.
Tuna Nchi kibao rafiki, tunaongea nao tu tunawapeleka Walimu wetu wa michezo huko, kwa Program ya miaka miwili tu, itatutosha sana, ina maana baada ya miaka 8 tutaweza kuona matokea.
 
Ndio heat 1 ngoja tuendelee kusubiria zinazokuja..
Kuna stor nimeskia ya jamaa wa kenya alimuacha mkewe wa ndoa tena kwa kejeli baada ya kupata umaarufu kwenye michezo ya dunia iliyopita akpata gold , leo yuko final sprinter mita 100 nadhani, naona wakenya wanasubiria
Women 200m final itakua yamoto sana wakata upepo wapo wakutosha
 
Pesa zipo Mkuu, shida ni vipaumbele tu, hizo pesa za kununua magoli ya Simba na Yanga huwa zinatokaga wapi? Vp za kuwapeleka Wasanii Nje ya Nchi, hili suala halihitaji hata msaada wa Wahisani.
Tuna Nchi kibao rafiki, tunaongea nao tu tunawapeleka Walimu wetu wa michezo huko, kwa Program ya miaka miwili tu, itatutosha sana, ina maana baada ya miaka 8 tutaweza kuona matokea.
magoli yw ubaya ibwela yananunuliwa🤣
 
Hii nchi ya ajabu Sana. Nchi Ina watu zaidi ya elfu sitini hatumuoni mbongo hata mmoja? Yaani hizi Simba na YANGA watu wanajaa kwenye matamasha Yao lakini hatuendi kupeperusha bendera ugenini? Tunazidiwa mpaka na ka Taifa Cha juzi Cha sudani ya kusini?
 
Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza
Hizi kilometer 20 mbona Wabongo wengi tu wanatembea kila siku kwa kukosa nauli? Tena kwenda na kurudi.

Wanafunzi wengi tu vijijini wanatembea umbali huu.
 
Hii nchi ya ajabu Sana. Nchi Ina watu zaidi ya elfu sitini hatumuoni mbongo hata mmoja? Yaani hizi Simba na YANGA watu wanajaa kwenye matamasha Yao lakini hatuendi kupeperusha bendera ugenini? Tunazidiwa mpaka na ka Taifa Cha juzi Cha sudani ya kusini?
Kuna vinchi vidogo ambavyo nadhani kiuchumi tunawazidi lakini wanaonyesha ushindani. Sisi tumewekeza zaidi kwenye football
 
Back
Top Bottom