daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
- Thread starter
-
- #101
Nigeria wameshinda, safi sanaAcha ubishi sema hujalipia kifurushi. Hiyo hapo ni nini? Hapo ni basketball ya Nigeria na Canada inaendelea channel 406
View attachment 3061308
Najuta kununua startimes.Kweli DSTV kuanzia 222 na kuendelea ni Olympics Game tu....Sisi tume invest kwenye C-A-SIR
Kuna channel moja ya uganda nbs sports huwa inaibia ibia kuoneshaNajuta kununua startimes.
hawana chanel za Olympics
We huangalii tamashaMpaka sasa table ya gold.
1. China 18 gold
2. Usa 16 gold
Tunaanza swimming finals hapa. Mchina akitoka salama hapa ana bahati sana
Nimeweka kambi ya kudumu olympicsWe huangalii tamasha
Naam maana hata yule mualgeria ni kama ngozi nyeupe tuMchezo wa gymnastics ni kama mchezo wa ngozi nyeupe tuu 🔥🔥🔥
Vipi mishale na mikuki, Mitumbwi, kutembeahivi unaona kuruka juu na chini ni kazi ndogo?au kurusha matufe ni kazi ndogo?
Fani za watu hizo
Huo ni mcheza mgumu sanaMchezo wa gymnastics ni kama mchezo wa ngozi nyeupe tuu 🔥🔥🔥
Nakiuza wiki ijayo ninunue dstvKuna channel moja ya uganda nbs sports huwa inaibia ibia
Fani za watu hizo.Vipi mishale na mikuki, Mitumbwi, kutembea
Mchezo unahitaji utimamu wa mwili na akili kwelikweliNaam maana hata yule mualgeria ni kama ngozi nyeupe tu
China 18Mpaka sasa table ya gold.
1. China 18 gold
2. Usa 16 gold
Tunaanza swimming finals hapa. Mchina akitoka salama hapa ana bahati sana
Tumewekeza sana uchawa huku kwetu.Haka ka nchi kanausela mwingi wakuu, imagine kurusha disc inahitaji kipaji Gani kama sio bahati tu na nguvu zako.
Mchezo wa kuruka Wala sio kipaji kile ni anatafutwa Mtu mwenyw phisikia ya namna hio anapewa training anakiwasha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waweke mchezo wa uchawa na kutekana Olympic ijayo tushiriki
Huo wa kutembea ni kwa kasi au taratibu.?Kuna michezo mingine haihitaji gharama kubwa za maandalizi. Imagine mchezo wa kutembea,
Watu wa Vijijini wanatembea kilomita nyingi tu, sema mjini tumejiendekeza sana, hatua chache tu unadaka boda au usafiri mwishowe tunalemaa kutembea, kilomita 5 inakuwa kasheshe.Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza