Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mpaka sasa table ya gold.

1. China 18 gold
2. Usa 16 gold


Tunaanza swimming finals hapa. Mchina akitoka salama hapa ana bahati sana
 
Mchezo wa gymnastics ni kama mchezo wa ngozi nyeupe tuu 🔥🔥🔥
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wakuu yule demu mbongo wa mita 50 swimming hata angefika leo fainali asingefanya maajabu yeyote hawa watu wanaswim
 
Mpaka sasa table ya gold.

1. China 18 gold
2. Usa 16 gold


Tunaanza swimming finals hapa. Mchina akitoka salama hapa ana bahati sana
China 18
Usa 17

Hii swimming itampa tabu sana mchina
 
Haka ka nchi kanausela mwingi wakuu, imagine kurusha disc inahitaji kipaji Gani kama sio bahati tu na nguvu zako.

Mchezo wa kuruka Wala sio kipaji kile ni anatafutwa Mtu mwenyw phisikia ya namna hio anapewa training anakiwasha.
Tumewekeza sana uchawa huku kwetu.

Hivi hakuna mchezo wa maigizo au uchawa akina Mwijaku wangeenda kukitimua..
 
Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza
Watu wa Vijijini wanatembea kilomita nyingi tu, sema mjini tumejiendekeza sana, hatua chache tu unadaka boda au usafiri mwishowe tunalemaa kutembea, kilomita 5 inakuwa kasheshe.

Hizo Km 20 nisingeshindwa kuzimaliza
 
Back
Top Bottom